Tetesi: Waliofukuzwa uanachama CHADEMA waanza kugawanyika

Huyu dada amepambana sana
Leo watu wanajidai hawaoni effort zake.
Hata Mimi natamani mkulu ampe cheo.
Ni kweli amepambana, lakini lazima kuheshimu taratibu za kikatiba mlizojiwekea.
Ubunge wa viti maalum mchakato wake lazima upitie kwenye vikao vya chama.
Hilo halikufanyika.
 
Bashiru
Msukuma
Wamekiri uchaguzi uliwasumbua sana hadi ikafanyika namna;
Hili swala ni la kutengeneziwa uzi na kujadiliana wale walokua wanasema chadema imekataliwa na wananchi waseme sasa
Kama katibu mkuu anakiri mambo yalikua magumu ikafanyika namna Je ni namna ipi?
A terribly short sighted observation!!
 
Ukijua wapuuzi ni akina nani, ujue wewe ni mtaalamu wa upuuzi. Hayo ndo unayoonesha hapa. Hiyo katiba ya wariona nani anaipigania? CHADEMA? Kwani aliyeanzisha tume na kuteua wajumbe ni CHADEMA?Au CHADEMA ni watetezi tu! Hiyo katiba yao walishaitetea? Trash!
Au CHADEMA ni watetezi tu!
Angalao unajuwa ya kuwa CHADEMA ni watetezi tu wa hiyo Katiba.Napata faraja kuona lumumba hawajamaliza ufahamu wako wote.
 
Mungu akusamehe. Kuna mataifa viongozi wao walianzia mbali mpaka kufikia kuongoza nchi. eg Ronald Reagan alinzia u cowboy, Andrei Rajiolina alianzia u DJ , Rais wa Malawi wa sasa ameanzia huo unaouita uchungaji fake nk . Sasa viongozi wa Cdm kuanzia maisha chini si kigezo cha kukosa hekima ya uongozi.
Mzee Mwinyi alikuwa na diploma tu ya ualimu lakini aliongoza kwa ufanisi.
Hapana! Wote unaowataja wana ufahamu wa shule. DJ wetu ana shule ipi? Huyo jamaa wa R&B ana shule ipi? Mchungaji feki ana shule ipi? Acha bhana! hii mwaka 2020, siyo 1961 tulipohitaji kila mtu mwenye uvumilivu.
 
Hapana! Wote unaowataja wana ufahamu wa shule. DJ wetu ana shule ipi? Huyo jamaa wa R&B ana shule ipi? Mchungaji feki ana shule ipi? Acha bhana! hii mwaka 2020, siyo 1961 tulipohitaji kila mtu mwenye uvumilivu.
Hujui lolote bwana. Angalia ma professors na ma Dr's wanavyovurunda. Uongozi ni kipaji na si uwingi wa vyeti.
 
Team Mdee wasimamie walichoamua kukisimamia. There’s no turning back; wasije wakageuka mawe bure!

Chama kiliingia completely kwenye catch-22 situation. A political loss was imminent, no matter how the party chose to respond. Tukisema Upinzani hawajakomaa kwenye hii sanaa ya siasa, wanaanza kuturushia matusi kama kawaida yao!
Mjinga mwingine
 
Miaka 15 ya jasho na damu ..saa nyingine Lupango..mahakamani...nyie mmetulia tulii majumbani kwenu.. tokeni kwenye comfort zone mvae viatu vyake hata mara moja mtaona alivyo jasiri
Akumbuke pia tunaompa ujasiri ni kina nani bwasheee
....!
Utauona huo ujasiri tena kama ataupata
 
Kauli za mtu ni kielelezo cha ubora wa ubongo wake. Poor brain cannot reasonably be expected to generate good ideas. Profanity is the best it can offer!
Unaendeleza ujinga wako hapa kwa kuchanganya Lugha watu mafa.la sana
 
Back
Top Bottom