Waliofanya interview TRA

Waliofanya interview TRA

Meridah Tough

Senior Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
136
Reaction score
365
Habari?
Kwa Wale waliofanya interview tarehe 13 kuna yeyote aliyepigiwa simu au utaratibu ukoje,? Maana tulipewa location ya written na oral kabisa, oral inakaribia lakini sielewi mwongozo ukoje.
Je ni mpaka tuitwe au na oral tunapaswa kwenda? Msaada tutani.
 
Leo watatoa majina ya walioitwa kwenye practical interview kada ya business analyst na personal secretary. Kuanzia kesho ndo kada nyingine mtaitwa.
 
Kwa ile nyomi pale DUCE na Mlimani sizani kama wamemaliza kusahihisha .. hopefully kesho utajua kama ni mbivu au mbichi
 
Leo watatoa majina ya walioitwa kwenye practical interview kada ya business analyst na personal secretary. Kuanzia kesho ndo kada nyingine mtaitwa.
Na zile interview za tarehe 13/02/2019 za TRC matokeo lini mkuu...??

Sent using Samsung; Jamii Forums mobile app
 
Na zile interview za tarehe 13/02/2019 za TRC matokeo lini mkuu...??

Sent using Samsung; Jamii Forums mobile app
Umeniuliza kama vile nafanya kazi utumishi mkuu. Mimi nipo mtaani bro sema nilisoma kwenye page yao.
 
Umeniuliza kama vile nafanya kazi utumishi mkuu. Mimi nipo mtaani bro sema nilisoma kwenye page yao.
Tatizo ulitoa majibu kama mtumishi wa PSRS mkuu...haya ubarikiwe sana!

Sent using Samsung; Jamii Forums mobile app
 
Aisee shikamoo utumishi yani mmekula vichwa vyote hvyo au mtiani ulitungwa mwezini?
 
Matokeo yapo tayari...kuna kada moja waliitw watu 445 wamechanguliwa watu 13..huu uhuni haukubaliki hata kidogo...
 
Paper zote Mtu umegonga zaidi ya 50 Marks ila duwh unakutana na kisanga cha cut off Marks Zakibabe haya bhana UTUMISHI.
 
Back
Top Bottom