moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,928
majina UA assistant custom officers yametoka nimecheck mdogo angu??
Tupia hapa.kama unayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupia hapa.kama unayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha umcheki mdogo wako wakati nilikuona ww pale DUCE kwenye mtanange hahahahahahamajina UA assistant custom officers yametoka nimecheck mdogo angu??
Tupia hapa.kama unayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Assistants custom officer hawajatoa bado mkuu?Ila inasikitisha kwa kweliView attachment 1051632View attachment 1051634
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unashindwa hata kwenda ajira.go.tz kyna majibu yot3 na kesho oral zinaanza kuwa serious usije kupitwa kumbe ulikuwa selected.Assistants custom officer hawajatoa bado mkuu?
Ningeweza nisingekuja kuomba msaada huku, toka jana nashindwa kuingiaHivi unashindwa hata kwenda ajira.go.tz kyna majibu yot3 na kesho oral zinaanza kuwa serious usije kupitwa kumbe ulikuwa selected.
Pole dada ni kweli Mtandao hauko sawa pole sana subiri nikuangalizie kwenye ma group kama hadi sasa hujayaona.N
Ningeweza nisingekuja kuomba msaada huku, toka jana nashindwa kuingia