Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 7,224
- 8,661
Ujinga kama huu wa kutokubali kwamba watanzania wanaweza pigania haki zao haya ndio madhara yake!! Mnawaona watanzania wamevunja Sheria kwa maandamano ambayo ni halali kisheria, mi nawashauri tu ni vzr mkae na wananchi muwasikilize hoja zao maan wamesema mpaka BBC nini wanataka!!Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Kwann tusianze na watekaji? Au wew unaonaje tutaanzaje kula kiporo Cha Leo tuache Cha juzi?Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Bongo bana..hapa anaharalisha kauli ya waliotoka nje ya mkulu...lisu heche..kuna mpango wa kuwabambikia kesiSerikali ina vyombo vya kufuatilia,we nyoa vaa pedi,kuna mkenya kauawa ubungo kwa risasi, social media za kenya zinaripoti
Mafwele ni tuhuma,hao jamaa zako walitenda,bila wao tusingekua hapaBongo bana..hapa anaharalisha kauli ya waliotoka nje ya mkulu...lisu heche..kuna mpango wa kuwabambikia kesi
Ila mafwele hadi leo pamoja na tuhuma kibao yupo
Walete watekaji tuwashitakiKwann tusianze na watekaji? Au wew unaonaje tutaanzaje kula kiporo Cha Leo tuache Cha juzi?
Maandamano halali kisheria,unajua maana ya 'halali kisheria'?Ujinga kama huu wa kutokubali kwamba watanzania wanaweza pigania haki zao haya ndio madhara yake!! Mnawaona watanzania wamevunja Sheria kwa maandamano ambayo ni halali kisheria, mi nawashauri tu ni vzr mkae na wananchi muwasikilize hoja zao maan wamesema mpaka BBC nini wanataka!!
Na walioua wananchi wao wafanyiwe Nini ?Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Kenyans Among Hundreds Killed in Tanzania’s Post-Election Violence - Kenyans.co.ke Kenyans Among Hundreds Killed in Tanzania’s Post-Election ViolenceNa walioua wananchi wao wafanyiwe Nini ?
Ccm imejenga shule za kuongeza
wajinga na wapumbavu wasio na uwezo wa kuelewa mambo ,
Ndo maana alishauri maliza chuo kikuu halafu uende Tena veta
Mmekataliwa na watanzania mnasema ni wakenya
Kukataliwa ni kubaya sana
CCM + tume ya uchaguziMange, Maria na Sativa wafunguliwe kesi.
Nafikili haupo sawa kichwani, katika uchaguzi huru na haki aya yote yangetoka wapiWatu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Jifunze kiswahili kwanzaNafikili haupo sawa kichwani, katika uchaguzi huru na haki aya yote yangetoka wapi
Hakuna Sheria inayoruhusu askari yoyote kumpiga risasi raia ambaye Hana silaha, vurugu zozote na maandamano yoyote yanatawanywa na silaha ambazo hazihatarishi uhai wa raia.Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
CCM namba mojaWatu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Mabomu ya machozi yangeweza kuzuwia zile vurugu ikiwa hata polisi wakiuawa?..kama yasingedhibitiwa mwisho wake ulikua nini,siyo miji yote mikubwa ingekua jivu,vifo vingapi vya polisi vingetokea, serikali isingeanguka?Hakuna Sheria inayoruhusu askari yoyote kumpiga risasi raia ambaye Hana silaha, vurugu zozote na maandamano yoyote yanatawanywa na silaha ambazo hazihatarishi uhai wa raia.
Ni kweli Watu walioandamana walisababisha uharibifu wa mali na miundombinu na Kuna baadhi ya vikundi vya wahuni vilifanya wizi.
Lakini walichokifanya polisi hakikubaliki na ni ukatili, na ukiukwaji wa haki za binadamu.
Damu za raia wote waliopoteza maisha, kwaajili ya kudai haki ziwe juu yako na vizazi vyako, juu ya polisi na juu ya Raisi Samia na vizazi vyako, Naomba haya Kwa Jina la MUNGU aliye hai Amina 🙏
Nenda kawaambie waliokutuma kuwa, walichokiona ilikuwa trailer.Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
MUNGU atairudisha damu ya roho zote za wapigania haki juu ya wazushi na vizazi vyako🙏Mabomu ya machozi yangeweza kuzuwia zile vurugu ikiwa hata polisi wakiuawa?..kama yasingedhibitiwa mwisho wake ulikua nini,siyo miji yote mikubwa ingekua jivu,vifo vingapi vya polisi vingetokea, serikali isingeanguka?
Kwa hiyo unahalalisha mauaji? Kwa nini msiwasikilize? Hiyo misingi unaiona ni ya haki?Palikua na maandamano mengi tu 1998-2005,Pemba 2001 waliandamana wakaua wengi,wakawa wakimbizi kenya
Huwezi kusema hatumtaki rais halafu ufanye vurugu uachwe