Waliochaguliwa SUA hapa!

Naitwa ja60 2takutana kwenye engnrn of scince in irgatn and water resource
 
daah !! Wanasua tumeshklia kozi muhimu embu chek hapo juu verterinary medicene afu engrn of scnce in irrgrtn and H20 resource kwa kweli sua rocks
 
Hahaa ee bana yaan nlvomalza six nlienda pale kuchek hostel zao ka nlijua ntakuja lala sku moja vle.! SUA big up.!
 
daah !! Wanasua tumeshklia kozi muhimu embu chek hapo juu verterinary medicene afu engrn of scnce in irrgrtn and H20 resource kwa kweli sua rocks

sizitaki mbichi hizi!
Kwa taarifa nilizopata sasa hivi ni kwamba nimekosa kozi zote mbili nilizojaza UDZM But nimeshangaa sana mimi kuachwa kwenye hiyo biotechnology coz nina cut off point 7
inauma sana why? Wameniacha wakati mtu wa mwisho ana point sita and mimi nina 7
 
Good Guy mkuu nadhani wewe umebobea jukwaa la wakubwa, ha ha ha hah kule hukamatiki kwa pics zako. Huku kunawenyewe ha ha hah.
 
Last edited by a moderator:
Good Guy mkuu nadhani wewe umebobea jukwaa la wakubwa, ha ha ha hah kule hukamatiki kwa pics zako. Huku kunawenyewe ha ha hah.
 
Last edited by a moderator:
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom