koz gan weeweHapa n kwa ajir ya kufahamiana zaid maana tunakua familia moja na kupeana utaratibu, pia hata kukifahamu chuo kwa undan zaid, bila kusahau kuwekana sawa katika utata wa program husika
Karibu.
Hahahaaa bvm , angaliaaa wasije waka postpone bhanaWale mtakaoenda kusoma BVM ...muage nyumbani kabisa.... shule ya mule ndani imesimama...
All in all Hongereni kwa kuchaguliwa katika chuo bora cha kilimo Tanzania....
Karibuni Home of Excellence....
Mia we umechaguliwa koz gani??Hongera boi hyoo IPO main campus ka enjoy life
Nawaomba tu wakaze... wasiende kufunua sketi za wadada huko...Hahahaaa bvm , angaliaaa wasije waka postpone bhana
Kapige ni kozi Mama ya Engineering pale,iko vizuri tuu inakupa uwanja mpana.Ni moja ya wahitimu wa hii kozi undergraduate.Kakomae tuuu siku hizi kuna Mzee Amestaafu ndiyo alikuwa anatishia usalama wa ku exist pale Ni Dr.Mulengera(Huyu alikuwa rigid) ukipita kwake ni miujiza tuu.Kila la kheri any quiry uliza hapaAgriculture engineering hapa bado ku confirm
Sure kaka tutajiweka vzur, hasa coz huskaNawaomba tu wakaze... wasiende kufunua sketi za wadada huko...
Kama kaka zao tumemaliza salama na imani kubwa pia wao watamaliza salama...
Just kuwakumbusha tu hakuna shule ngumu kama 1st year... 3rd...4th year.... Hapo kwa first year wakizubaa nusu la darasa linaweza kurudi Home....