Melkiard Junior
Senior Member
- Aug 12, 2018
- 150
- 77
Ni kwel mkuuTayari angalia kwenye web yao au udahili portal
Thanx ngoja nichekTayari angalia kwenye web yao au udahili portal
Hey wadau naomba kujua matokeo ya waliochaguliwa wakati wa maombi round 4, maana TCU walisema tarehe 10-10-2019 ambayo ndo leo majina yatatangazwa na wale watakaokuwa na multiple admisssion waweze kufanya confirmation, ila hadi muda huu kimya; any updates pls?
labda ni makosa tu ya kiufundi, me nashauri afanye communication na chuo alicho-confirm kama wao washamuweka ktk list yao hamna shida. na vyuo vingi vinatoa list ya watu waliokuwa tayari full admitted (single admission) na wenye multiple bado, anaweza check documents hizo ktk chuo alicho-confirmInakuaje mtu kasha confirme lakini bado ana endelea kutumiwa code
labda ni makosa tu ya kiufundi, me nashauri afanye communication na chuo alicho-confirm kama wao washamuweka ktk list yao hamna shida. na vyuo vingi vinatoa list ya watu waliokuwa tayari full admitted (single admission) na wenye multiple bado, anaweza check documents hizo ktk chuo alicho-confirm
Wasiliana na chuo... najua wanatoaga namba za maulizo. Anzia hapo kwanza.Wakuu Mimi naomba msaada,Akaunti yangu inaonesha kuwa nimechaguliwa bachelor of education in adult,lakini kwenye list chuoni sipo.msaada wakuu
Ooh basi hapo fresh. hongera zakeOoh sawa ame check chuoni yuko admitted kwenye system yao ..sema alikuwa na wasi wasi maana code wame mtumia kila siku
Achana na ualimu utaishia kugongwa k na ajira usipateWakuu Mimi naomba msaada,Akaunti yangu inaonesha kuwa nimechaguliwa bachelor of education in adult,lakini kwenye list chuoni sipo.msaada wakuu
Niende wapi?Achana na ualimu utaishia kugongwa k na ajira usipate
lilikuwepo, round 4Hivi hAkuna dirisha la mwisho