Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Naomba unitajie vitu vinavyotakiwa katika uombaji mikopo heslb
 
Hey, ndugu mkumbuke hata matapeli wamo humu; hao wanaoweka namba zao kwa madai kuwa watawasaidie kwa lolote kuweni makini nao.
Kama ni msaada wa kufika Udom wewe tafuta jinsi ya kufika Dodoma kisha namna ya kutoka Dodoma mjini kuelekea UDOM (Bondeni/social). Kuna thread inayoelekeza namna ya kufika katika kila college ukitokea mjini itafuteni ndo msaada wenu vingine upate msaada kutoka kwa mtu unayemjua au kumwamini.
 
Ukitokea mkoa wowote ule utashukia Stendi kuu ya mabasi Dodoma,ukifika hapo kama utachukua taxi au bodaboda au kwa mguu maana sio mbali mpaka JAMATINI ambapo magari ya kwenda Udom yanapatikana ni Km 8 kutoka JAMATINI to UDOM..kwa wale mnaokwenda social science mtashushwa hapo,Informatics mtashushwa mbele zaidi..na Education/medical ntashukia mwisho wa gari...ASANTENI
 
Kaka eti huko udom lazima uwe na account ya bank

ndugu maldoso wapaswa kusubir admission letter kutoka udom ambayo weng wenu mnaita joining instraction itakueleza mambo yote ya kufanya ww.ila kama kuomba mkopo inahitajika a/c ya benk{nmb}.
 
Asante ndugu lakini heslb bado hawajatoa taarifa kuhusu mikopo yetu sisi tuliothibitisha
 
Kwa yeyote ataehitaji msaada unaohusu kozi yetu ya special diploma nipo tayari kuwapa ushirikiano wa kimawazo kwasababu mimi ni mwenyeji wa udom pia ni mwanafunzi wa hii kozi, kwahio msijali watanzania wenzangu kama utahitaji msaada nipigie tu kwenye namba 0716909911/0789389152 nitakuelekeza vilivyo ndani ya uwezo wangu. Mimi naingia mwaka wa pili

Mkuu naomba uniambie/ utuambie mahitaji ya muhim ambayo unapaswa kuandaa mapema mdau
 
Wakuu je 2lioomba mkopo heslb kabla ya kuthibitisha itakuwaje au tutafanya application mara ya pili au?
 
Wakuu je 2lioomba mkopo heslb kabla ya kuthibitisha itakuwaje au tutafanya application mara ya pili au?

HAPANA hutatuma mara ya pili kjna maana taarfa ya kuthibtxha na mambo ya heslb hayaingiliani .. .....ucwe na wasiwas kjna
 
tukifanikiwa kupata boom tulitumie vzr tusiwakabidhi ma sister duu ATM Card zetu tutajuta
 
Back
Top Bottom