valence vivianus
Member
- Aug 2, 2015
- 44
- 1
Oi kwaiyo tuition fee ni 1,200,000/=
Duh mbona majangaa
tuition fee ni 900000 sio hyo yakwako pia mnatakiwa msome muelewe kwanza ndo muingie hum jukwaan nakutoa hoja sio kukaa mnabishana kwakitu ambacho hamjakisoma nakukielewa SOMA VIzur admission letter yako na uielewe ndo uje utoe yako hoja pia n vizur mkipunguza nchecheto