Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Special diploma wanalipa direct cost lakin tuition fee hawalipi si ndio
 
Form zpo mbili kwa hy tunajaza moja ya hospitalin 2 ausio na hy walikuambia udom wenyew au
 
Mbona admssion letter inasema tuwah tareh 31 tuwe na payment slip vyet vya 4m4 vya kuzaliwa na copy 3 za registration sasa vivianus unasema form za registration hatujaz kvp yaan
 
Jamani msaada et kwenye registration form pale kwenye sponser tunaandika sponser gan
 
Valence kama ss tunatakiwa kulipa direct cost ambayo ni 2321000Tsh na student union ambayo ni 5000Tsh na bima ya afya NHIF fund ambayo ni 50400 Alafu tuition fee tunalipia na sponser je sponser hao ni nani asante kwa ushirikiano
 
Jaman Tution Fee Kwa Special Diploma Inalipwa Na Selikali Au Mwanafunzi Msaada Wakuu Kwa Anaejua
 
Hivi mbona mnauliza maswali hayohayo kila siku? Soma hata comment zilizopita kwanza kabla ya kuuliza swali lako.
 
Jaman naombeni mnisaidie eti hii direct cost,hela ya bima pamoja na union student tunalipia tukiwa huku huku nyumban(benk za huku huku) au mpaka benk za pale chuo
 
Back
Top Bottom