Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Cjajua kaka lkn masomo yataanza mwezi wa 11 mwanzon ila muda wa kuripot cjajua kk hiy6 watatoa wenyew udom
 
Muda wa kureport. N mwez wa ngap kk??

Yani mpaka kufikia hiv sasa hakuna taarfa yoyote kuhusu tarehe ya Kuripot kwani joining instruction bado hazjatoka kwahiyo we vuta subira ndani ya mwezi huu huu Wa nane lazima ztakuwa tayari.
 
Za humu jaman naomba mniangalizie namba s.2852/0022. Kama kapangwa udom plz.
 
Back
Top Bottom