plz naomba mniangarizie hii namba s1127/0030
Maelekezo hayajatolewa na kwa kawaida hutolewa na chuo (Udom) na kawaida mhula wao wa masomo utaanza mwez novemba mwanzon. uwe unatembelea hapa: www.Udom.ac.tz
Diploma Nyie Mtaanza Na Sisi Kusoma Mwezi Wa Kumi Na Moja!!Nyie Mshakuwa Wanachuo Sasa So Ratiba Zenu Kama Sie Wa Degree!!
Wanafunz waliomaliza kidato cha nne na kupangiwa diploma chuo cha Udom na wao wapatiwa mkopo?
Diploma Nyie Mtaanza Na Sisi Kusoma Mwezi Wa Kumi Na Moja!!Nyie Mshakuwa Wanachuo Sasa So Ratiba Zenu Kama Sie Wa Degree!!
et unaweza kuunganisha dgree ukmaliza dploma
wakuu naomba mniangalizie h namba ni course gan amepangwa plz s.3505/0022