Uncle Yoso,pongezi kwako ngoja tusubiri huo muda watakao ongeza..maana kijana nimemwambia akapanic sana kwamba deadline ya loanbord aplication imefka..shkrani sana mkuu
HABARI
zenu wanafunzi wenzangu,wadau,member na wana kitiivo wote,kama wewe umepngiwa UDOM mwaka huu 2015/2016 special diploma ni mda wa kufahamiana hapa ili tujenge umoja na urafiki piah kufahamiana ni vizur....
0659169361 uncle yoso hapa pande za dar es salaam....KARIBU NA WEWE....
kaka pamoja sana pande za dom vp masomo gan ?
Tunatakiwa kuripoti udom lini jaman
Me natokea kimara kilungule nimemalza dar es salaam sec school namba yangu 0672295499