Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Wakubwa uk udom tunaweza kwend ln maana ma home tumekaa xnaa yan af kwa wal wa tuoingia UDOM 0715624407 namb yang tujuan
 
Bd hawajatoa tareh ya kuripot
Ila unashauriwa kutembelea mara kwa mara web ya udom
 
vp kuhusu mkopo tunaenda kuombea hapohapo chuoni au ni kuomba kabla hujariport chuo
 
Nisaidieni jaman et fomu au joining instruction zinatokaga mwezi gani jaman na tunazipatia shuleni au kwenye web ya udom
 
wa mwaka jana admission ltr walitoa mwezi gan na mwaka huu inaweza kuwa mwez gan
 
Back
Top Bottom