Waliochaguliwa kuendelea na mchujo wa Mahojiano (Tanzania Airport Authority)

Kweli ajira kwa vijana nchi hii ni janga na ni bomu linalosubiri kulipuka kama ilivyolipuka PANYA ROAD.
Yaani Operations Officer wanahitajika 27 tu lakini waliojitokeza kwenye usaili ni 985..!!
Hilo ni eneo dogo tu la taaluma, bado eneo la afya, elimu, n.k.

Mamlaka husika wasipochukua hatua za kukabiliana na huu ukosefu wa ajira kwa vijana wetu wataishia tu kuwamaliza kwa kuwapiga risasi kwa kosa ambalo ni la serikali yenyewe.
 
Hukuona nafasi 6 za kule Bungeni zilizopambaniwa na watu 1000+ (waliofanya written)? ambapo jumla waliitwa 2455.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom