Wenye afya hawamwitaji daktari, wanaomwitaji ni walio wagonjwa.
Sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu.
CC: Zion Daughter
Huyo Zion Daughter ndiye anatakiwa kutubu??
Halafu wewe usije kumfanyia kitubio wakati mida hairuhusu....
Babu DC!!
Wajina kanipa salamu zako, nikupee kwa hapa au kwa PM.
Sasa naweee, nikupe hapa hapa hazarani?nipe tu hapa hapa babu. nshatega skio.
Sasa naweee, nikupe hapa hapa hazarani?
Amenambia anasafiri kesho na atarudi baada ya siku nne hivi. Anaomba umsaidie majukumu yake atakapokuwa hayupo.hehehehe!!! kwani ni siri? waambie wajukuu wazibe maskio basi. haya wajina anasemaje????
Amenambia anasafiri kesho na atarudi baada ya siku nne hivi. Anaomba umsaidie majukumu yake atakapokuwa hayupo.
Amenambia anasafiri kesho na atarudi baada ya siku nne hivi. Anaomba umsaidie majukumu yake atakapokuwa hayupo.
Ahsante Ciello nashukuru kwa kutambua ushauri mzuri kutoka kwa hao members...
Hilo ndilo jibu nalopaswa kumpa wajina? Khaa!hahahaha!!!! haya babu. usku mwema. ngoja nilale sasa.
Hahahaha.... afu we babu, hivi ndivyo unavyomjibu Kuhani Mkuu?Nilijua tu kwamba hadithi itaishia hapo....
Umeamua kuunganisha, kutoka kanisani hadi kwenye foleni ya J3?
Babu DC!!
Uko ndani ya mada 🙂
Asante, nimetabasamu
Wenye afya hawamwitaji daktari, wanaomwitaji ni walio wagonjwa.
Sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu.
CC: Zion Daughter
Watu na wakushukuru ee Mungu,"na utukufu wake Bwana utaonekana na wote wenye mwili watauona pamoja, kwa kuwa Bwana Mungu ameyasema haya".
Kumbuka "kila bonde litajazwa na palipopotola patasawaziswa"
Amiiin, amiiin nawaambia.......Basi yule mjakazi akamuuliza Petro na wewe si umetoka Galilaya?Nilikuona ukiwa na mtu huyu ....Petro akamjibu simjui mtu huyu..mara jogoo akawika...
Afu wewe siku hizi unakoelekea??!! yangu masikio...