Walioapply degree course mwaka huu kutokea diplomaa

mind bringer

Senior Member
Oct 19, 2017
135
225
nmepata mshangaoo mkubwa kwa waloapply chuo kikuu mwaka huu wakitokea diploma...weng wametemwa ingalii wana gpa kubwa na nzurii....shida ipo wap kwa wenye mawazoo ya kuwafariji hawa ndugu zangu
 
Dongmei

Member
Oct 10, 2020
42
125
Tatizo linakuja hapa mtu diploma amesoma agriculture degree anataka aende kusoma computer science chukua guideline ya TCU uone wakivyo elezea watu wanaaply bila kusoma gudilne ya tcu
Kabisa yani... Yan watu hawasomi vigezo vinavyotakiwa.. mtu anapply course tofauti ambayo haiendani kbs na diploma yake aliyosomea...xx Hapo lazima iwe ngumu kuchaguliwa.
 
Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
4,841
2,000
asee hapo ni bahati sana

tatizo competition ndugu angu
Mkuu, haya mambo hayaelewekagi na wala hayana formula.. Kuna 6 holder wengi wameachwa 1 round hali ya kuwa form 4 wanamatokeo nondo na 6 wamepiga vizur dvsn 2 Kali Ila walikosa dirsha LA kwanza huku mtaani nikp nao madogo kama hao na sasa wanasubiria 2 round selection.
Hv vyuo vinaringa sana round 1 kwanza kwa kuwa waombaji wanakuwa wengi na vyuo vinaamini wataomba tena, matokeo yake wanachagua wachache ten wengi wana multiple selection..
 
Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
4,841
2,000
Hvyo naamini vyup Vingi vina mzigo mkubwa wa kuchambua selection tofauti na maono ya TCU ambao waliweka Sikh chache sana za kuchakata na kurelease selection
 
Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
2,026
2,000
Duuh itakuwa noma hy, kwahy ht kama una D 4 bado utapigwa za uso.?
inategemea d 5 za somo gani kwa course za sayansi lazima uwe na D 4 za masomo ya sayance kinyume na hapo hata uwe na gpa ya 5 hupati vyuo vingine ka udsm utasikia mathematic is mandatory at grade C
 
mind bringer

Senior Member
Oct 19, 2017
135
225
Mkuu, haya mambo hayaelewekagi na wala hayana formula.. Kuna 6 holder wengi wameachwa 1 round hali ya kuwa form 4 wanamatokeo nondo na 6 wamepiga vizur dvsn 2 Kali Ila walikosa dirsha LA kwanza huku mtaani nikp nao madogo kama hao na sasa wanasubiria 2 round selection.
Hv vyuo vinaringa sana round 1 kwanza kwa kuwa waombaji wanakuwa wengi na vyuo vinaamini wataomba tena, matokeo yake wanachagua wachache ten wengi wana multiple selection..
fact hiii
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom