Walioahidi kuiua CHADEMA kabla ya 2020 wako wapi?

Wakat unaandika huu uzi inaonekana ulikuwa "chakari",

Chadema ilishaisha.
 
Kuna wale walioahidi kuiua chadema kwa njia zozote ikiwemo Uchawi , leo naandika haya ni june 15 2020 , ni muda uliopita kipindi chao cha makadirio , sasa nawauliza hivi , bado ndoto yao ipo ?

Maana sasa ni dhahiri kwamba Chadema imemshinda Shetani na inakwenda kutwaa nchi hasa baada ya kutangaza hadharani kwamba itafuta ukandamizaji , zikiwemo sheria za kijinga zilizopitishwa ili kuwalinda watu fulani , kutokomeza mauaji ya wasio na hatia yaliyofanywa desturi , itaongeza mishahara ya wafanyakazi kama katiba inavyoelekeza huku ikiahidi kurudisha utaratibu wa kutoa ajira kwa vijana wa nchi hii ambao umefutwa kwa sababu zisizofahamika .

Ewe uliyeahidi kusimamia jambo hili la kuua CHADEMA ni vema ukajitokeza ili utupe mrejesho au umepanua magoli ?

Ni Yesu bin Jiwe.
 
ACT Wazalendo sawa,vita yetu Watanzania ni namna ya kutoka mikononi mwa watesi wetu(CCM), haijalishi kama watakao chaguliwa.Iwe ACT Wazalendo,TLP,UDP,CUF,ADC au CDM bora CCM watupishe.Wametunyonya vya kutosha,wametunyanyasa Watanzania wenzao sana.Bado wanatung'ang'ania utafikiri wana jipya.
Hatuwataki,mnabaka demokrasia,hamtaki Tume Huru ya Uchaguzi,hamtaki Katiba Mpya,mnataka kuendelea kutuongoza mpendavyo?
We we unawapendea nini CCM? Wamekuajiri?Mnatetea hata wasiojulikana huku bado mwataka tuwaamini?
karne hii bado unaota kuajiriwa wakati fursa za kujiajiri zipo kibao,,chama cha siasa sio msingi wa wewe kuajiriwa punguza upumbwiji
 
Mh.Magufuli Jana pale Bungeni alikataza matusi,haukusikiliza?
Nakushangaa maana umeona sentensi ya kuajiriwa kwako CCM,hilo hakuna maana Mimi nategemea kuajiriwa.Lakini pia kwa kuwa nimejielimisha vya kutosha,nastahili kuajiriwa.Huko ulipo Kuna nafasi ya ajira?
Hoja zingine hukuona hapo juu?Ni vena ukaonyesha ukomavu kwa kumaliza maswali ktk mitihani mliyojipa hapo kwenu Lumumba,Kujibu na kutetea ukosoaji dhidi ya madudu yenu.
 
aisee mimi si mfia vyama vya siasa, ingawaje maisha bila siasa hayaendi kwangu mimi siasa ni ubatili.mtupu, wewe endelea kusubiri chadema waingie madarakani upate ajira kwa kuwa umesoma sana ila tambua umri unakutupa mkono na fursa za kujiajiri ni ujanani, ndio maana nakuita pumbwiji sio tusi hilo ni hali halisi uliyonayo
 
Sina sababu ya kubishana nawe maana huelewi chochote,unatetea nini sasa?Nimekwambia sina haja na ajira za masimango na maisha yangu yanaendelea.
Kama umeamua kujitoa fahamu kwa ajili ya CCM,jibu maswali yote tuone pumbwiji ni nani.
Nipo tayari kuendelea kuelimishwa,kwa nini CCM wanaogopa Katiba Mpya ya wenye nchi na Tume Huru ya uchaguzi?Kwa nini mnaogopa mnachoita matusi na ilhali nyie mkitukana matusi ya kudhalilisha wengine?
 
sasa hapa unazidi kuonyesha upumbwiji katiba mpya imetungwa lini??
 
Kuna wale walioahidi kuiua chadema kwa njia zozote ikiwemo Uchawi , leo naandika haya ni june 15 2020 , ni muda uliopita kipindi chao cha makadirio , sasa nawauliza hivi , bado ndoto yao ipo ?

Maana sasa ni dhahiri kwamba Chadema imemshinda Shetani na inakwenda kutwaa nchi hasa baada ya kutangaza hadharani kwamba itafuta ukandamizaji , zikiwemo sheria za kijinga zilizopitishwa ili kuwalinda watu fulani , kutokomeza mauaji ya wasio na hatia yaliyofanywa desturi , itaongeza mishahara ya wafanyakazi kama katiba inavyoelekeza huku ikiahidi kurudisha utaratibu wa kutoa ajira kwa vijana wa nchi hii ambao umefutwa kwa sababu zisizofahamika .

Ewe uliyeahidi kusimamia jambo hili la kuua CHADEMA ni vema ukajitokeza ili utupe mrejesho au umepanua magoli ?
Yuko dom hujaona fomu imechapishwa moja tu,yani hakuna anaeruhusiwa kuchukua zaidi yake...ccm imekua kijiwe cha shisha
 
Tafadhali taratibu usije ukasababisha betri ikazima
Kuna wale walioahidi kuiua chadema kwa njia zozote ikiwemo Uchawi , leo naandika haya ni june 15 2020 , ni muda uliopita kipindi chao cha makadirio , sasa nawauliza hivi , bado ndoto yao ipo ?

Maana sasa ni dhahiri kwamba Chadema imemshinda Shetani na inakwenda kutwaa nchi hasa baada ya kutangaza hadharani kwamba itafuta ukandamizaji , zikiwemo sheria za kijinga zilizopitishwa ili kuwalinda watu fulani , kutokomeza mauaji ya wasio na hatia yaliyofanywa desturi , itaongeza mishahara ya wafanyakazi kama katiba inavyoelekeza huku ikiahidi kurudisha utaratibu wa kutoa ajira kwa vijana wa nchi hii ambao umefutwa kwa sababu zisizofahamika .

Ewe uliyeahidi kusimamia jambo hili la kuua CHADEMA ni vema ukajitokeza ili utupe mrejesho au umepanua magoli ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom