Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,676
- 272,520
- Thread starter
- #21
Nenda hospitali ya mkoa wa Dodoma , kuna alielazwaNdio kinapiga piga mateke ya kukata pumzi
Nenda hospitali ya mkoa wa Dodoma , kuna alielazwaNdio kinapiga piga mateke ya kukata pumzi
Israili hajitumi siku hiziUsiku huu kuna tetesi gesi zimeagizwa
Ni aibu kwaoKuna wale walioahidi kuiua chadema kwa njia zozote ikiwemo Uchawi , leo naandika haya ni june 15 2020 , ni muda uliopita kipindi chao cha makadirio , sasa nawauliza hivi , bado ndoto yao ipo ?
Maana sasa ni dhahiri kwamba Chadema imemshinda Shetani na inakwenda kutwaa nchi hasa baada ya kutangaza hadharani kwamba itafuta ukandamizaji , zikiwemo sheria za kijinga zilizopitishwa ili kuwalinda watu fulani , kutokomeza mauaji ya wasio na hatia yaliyofanywa desturi , itaongeza mishahara ya wafanyakazi kama katiba inavyoelekeza huku ikiahidi kurudisha utaratibu wa kutoa ajira kwa vijana wa nchi hii ambao umefutwa kwa sababu zisizofahamika .
Ewe uliyeahidi kusimamia jambo hili la kuua Chadema ni vema ukajitokeza ili utupe mrejesho au umepanua magoli ?
Kwani chadema ipo?Kuna wale walioahidi kuiua chadema kwa njia zozote ikiwemo Uchawi , leo naandika haya ni june 15 2020 , ni muda uliopita kipindi chao cha makadirio , sasa nawauliza hivi , bado ndoto yao ipo ?
Maana sasa ni dhahiri kwamba Chadema imemshinda Shetani na inakwenda kutwaa nchi hasa baada ya kutangaza hadharani kwamba itafuta ukandamizaji , zikiwemo sheria za kijinga zilizopitishwa ili kuwalinda watu fulani , kutokomeza mauaji ya wasio na hatia yaliyofanywa desturi , itaongeza mishahara ya wafanyakazi kama katiba inavyoelekeza huku ikiahidi kurudisha utaratibu wa kutoa ajira kwa vijana wa nchi hii ambao umefutwa kwa sababu zisizofahamika .
Ewe uliyeahidi kusimamia jambo hili la kuua Chadema ni vema ukajitokeza ili utupe mrejesho au umepanua magoli ?
Hiki kinachohamwa kwa mafungu au kipikwanza 2020 chadema itachanua zaidi , hata hivyo usipanue goli
Chadema hii?kwanza 2020 chadema itachanua zaidi , hata hivyo usipanue goli
Huoni aibu kupambana na Chadema, kwa kutumia vyombo vyako vyako vyote vya dola?Ndio kivysa piga mateke ya kukata pumzi
Chadema imeshakufa zuzu wewe,imebaki mitandaoni tuKuna wale walioahidi kuiua chadema kwa njia zozote ikiwemo Uchawi , leo naandika haya ni june 15 2020 , ni muda uliopita kipindi chao cha makadirio , sasa nawauliza hivi , bado ndoto yao ipo ?
Bado hakijafa kama kiko ICU. kitatoka salama tu.Mi naona kipo ICU na kwa Sasa kipo kwenye ule msemo, the last kick of diying horse

Editing ya kitoto hii peleka FB
Hicho chama kilishakufa mkuu, unajidanganya tu.Kuna wale walioahidi kuiua chadema kwa njia zozote ikiwemo Uchawi , leo naandika haya ni june 15 2020 , ni muda uliopita kipindi chao cha makadirio , sasa nawauliza hivi , bado ndoto yao ipo ?
Maana sasa ni dhahiri kwamba Chadema imemshinda Shetani na inakwenda kutwaa nchi hasa baada ya kutangaza hadharani kwamba itafuta ukandamizaji , zikiwemo sheria za kijinga zilizopitishwa ili kuwalinda watu fulani , kutokomeza mauaji ya wasio na hatia yaliyofanywa desturi , itaongeza mishahara ya wafanyakazi kama katiba inavyoelekeza huku ikiahidi kurudisha utaratibu wa kutoa ajira kwa vijana wa nchi hii ambao umefutwa kwa sababu zisizofahamika .
Ewe uliyeahidi kusimamia jambo hili la kuua Chadema ni vema ukajitokeza ili utupe mrejesho au umepanua magoli ?
Kununua viongozi haiwezi ua upinzani na faida waliyo nayo upinzani ni kwamba kwa kuto kuoneshwa live bunge na kuzuiwa mikutano ya hadhara imesaidi chama kwa wabunge kushindwa kuji brand hivyo wabunge wengi viti maalumu hawajulikani,na pia wa majimbo wanafahamika majimboni kwao tu,kwa hiyo ile impact ya kitaifa haiwezi tokea.Mwaka 2020 umeisha ?kumbe unakili kisoda hivi
KalabaoCHADEMA ipo jf, tweeter, fb na IG...kule field ambako ndiko inakotakiwa kuwa haipo, kule field CHADEMA imekufa, October sio mbali uzi huu nitaufukua.
CDM haiwezi kufa, utakufa wewe utaiacha CDM ikidunda.Hicho chama kilishakufa mkuu, unajidanganya tu.
Vyombo vya ulinzi na usalama ndo vinavyowafungua macho wananchi waone maajabu yalofanywa na JPM kwa kujibu hoja zote za upinzani ndani ya miaka 5? ni vyombo vya ulinzi na usalama ndo vilowafanya CHADEMA na Zitto kuungana na maadui wa Taifa na kutubetray katika vita vya kiuchumi? ni vyombo vya ulinzi na usalama vinavyowafanya waishi maisha ya kihuni kinyume na maadili ya viongozi wa umma kwa kulewa chakali, kuumia na kusingizia serikali? Haya ni baadhi tu ya mambo yalofanya wasiaminike tena.Mimi nafikiri CCM kama wanaamini CDM inakufa wangeiacha ijifie yenyewe badala ya kuikandamiza kwa kutumia vyombo Vya Ulinzi na usalama.Mgonjwa aliye mahututi kwanini umpige tena risasi ya kichwa si umuache tu ajifie mwenyewe?