Walioahidi kuiua CHADEMA kabla ya 2020 wako wapi?

Kuna wale walioahidi kuiua chadema kwa njia zozote ikiwemo Uchawi , leo naandika haya ni june 15 2020 , ni muda uliopita kipindi chao cha makadirio , sasa nawauliza hivi , bado ndoto yao ipo ?

Maana sasa ni dhahiri kwamba Chadema imemshinda Shetani na inakwenda kutwaa nchi hasa baada ya kutangaza hadharani kwamba itafuta ukandamizaji , zikiwemo sheria za kijinga zilizopitishwa ili kuwalinda watu fulani , kutokomeza mauaji ya wasio na hatia yaliyofanywa desturi , itaongeza mishahara ya wafanyakazi kama katiba inavyoelekeza huku ikiahidi kurudisha utaratibu wa kutoa ajira kwa vijana wa nchi hii ambao umefutwa kwa sababu zisizofahamika .

Ewe uliyeahidi kusimamia jambo hili la kuua CHADEMA ni vema ukajitokeza ili utupe mrejesho au umepanua magoli ?
Wengine wako Gombe
 
Hao sits au saba ndiyo wanawapagawisha hivyo?
mimi si mfia vyama kama wewe, inamaana huoni kama ACT kinakuja kuwa chama kikuu cha upinzani au unajitoa ufahamu bure??, hebu jaribu kuusoma mchezo then utapata jibu
 
Mtakufa ninyi ccm na familia zenu lkn,Chadema mtaiacha.Wako wapi akina Getrude Lwakatare,Richard Mganga Ndassa,Komba na majaji waliokufa kwa kuwafunga viongozi wa Chadema ili wapandishwe vyeo?
Chizi wewe sasa jaji asifanye kazi yake? Komba, Ndasa walimfunga nani
 
Hivi kuna watu wenye AKILI TIMAMU kabisa kabisa na wanaota hata upinzani KUTWAA NCHI 2020.

U
pinzani usiodhibiti chombo chochote cha maamuzi tayari ni MAITI INAYOTEMBEA.

Uhai wa chama unapaswa uwe huko bungeni ili CCM itegemee kura za upinzani kwenye kila maamuzi huko mfano kupitisha bills.

Hayo makelele yasiyoathiri maamuzi hata vyura wanapiga sana kwenye madimbwi.

2020 NDO UCHAGUZI MKUU MGUMU MNO KWA UPINZANI KWENYE HISTORIA YA VYAMA VINGI.
 
Uwezo wa kudhibiti wa chombo chochote cha maamuzi unapatikana baada ya kupigiwa kura na kushinda... kabla ya hapo hakuna kitu kama hicho
 
mimi si mfia vyama kama wewe, inamaana huoni kama ACT kinakuja kuwa chama kikuu cha upinzani au unajitoa ufahamu bure??, hebu jaribu kuusoma mchezo then utapata jibu
ACT Wazalendo sawa,vita yetu Watanzania ni namna ya kutoka mikononi mwa watesi wetu(CCM), haijalishi kama watakao chaguliwa.Iwe ACT Wazalendo,TLP,UDP,CUF,ADC au CDM bora CCM watupishe.Wametunyonya vya kutosha,wametunyanyasa Watanzania wenzao sana.Bado wanatung'ang'ania utafikiri wana jipya.
Hatuwataki,mnabaka demokrasia,hamtaki Tume Huru ya Uchaguzi,hamtaki Katiba Mpya,mnataka kuendelea kutuongoza mpendavyo?
We we unawapendea nini CCM? Wamekuajiri?Mnatetea hata wasiojulikana huku bado mwataka tuwaamini?
 
Kuna wale walioahidi kuiua chadema kwa njia zozote ikiwemo Uchawi , leo naandika haya ni june 15 2020 , ni muda uliopita kipindi chao cha makadirio , sasa nawauliza hivi , bado ndoto yao ipo ?

Maana sasa ni dhahiri kwamba Chadema imemshinda Shetani na inakwenda kutwaa nchi hasa baada ya kutangaza hadharani kwamba itafuta ukandamizaji , zikiwemo sheria za kijinga zilizopitishwa ili kuwalinda watu fulani , kutokomeza mauaji ya wasio na hatia yaliyofanywa desturi , itaongeza mishahara ya wafanyakazi kama katiba inavyoelekeza huku ikiahidi kurudisha utaratibu wa kutoa ajira kwa vijana wa nchi hii ambao umefutwa kwa sababu zisizofahamika .

Ewe uliyeahidi kusimamia jambo hili la kuua CHADEMA ni vema ukajitokeza ili utupe mrejesho au umepanua magoli ?
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Tukutane November
 
Wako walioambiwa watarudi kijijini na kuishi kama mashetani na hadi leo maisha yanaenda.Sembuse watu kusema chadema itakufa.
 
Chadema ishakufa, ww kwa akil zako unahis chadema bado ina exist?
 
Wako walioambiwa watarudi kijijini na kuishi kama mashetani na hadi leo maisha yanaenda.Sembuse watu kusema chadema itakufa.
Aliposhindwa kuwafanya watu warudi kijijini ndio alipoanza kushindwa kuua Chadema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom