Walioahidi kuiua CHADEMA kabla ya 2020 wako wapi?

Kwani chadema bado ipo?
Kuna wale walioahidi kuiua chadema kwa njia zozote ikiwemo Uchawi , leo naandika haya ni june 15 2020 , ni muda uliopita kipindi chao cha makadirio , sasa nawauliza hivi , bado ndoto yao ipo ?

Maana sasa ni dhahiri kwamba Chadema imemshinda Shetani na inakwenda kutwaa nchi hasa baada ya kutangaza hadharani kwamba itafuta ukandamizaji , zikiwemo sheria za kijinga zilizopitishwa ili kuwalinda watu fulani , kutokomeza mauaji ya wasio na hatia yaliyofanywa desturi , itaongeza mishahara ya wafanyakazi kama katiba inavyoelekeza huku ikiahidi kurudisha utaratibu wa kutoa ajira kwa vijana wa nchi hii ambao umefutwa kwa sababu zisizofahamika .

Ewe uliyeahidi kusimamia jambo hili la kuua Chadema ni vema ukajitokeza ili utupe mrejesho au umepanua magoli ?
 
Mimi nafikiri CCM kama wanaamini CDM inakufa wangeiacha ijifie yenyewe badala ya kuikandamiza kwa kutumia vyombo Vya Ulinzi na usalama.Mgonjwa aliye mahututi kwanini umpige tena risasi ya kichwa si umuache tu ajifie mwenyewe?
Wanachezea moto hao,wanatumia raslmali za umma kufanya vituko.Gharama ambazo zimetumika kuunga mkono juhudi za Mh.Rais kwa miaka hii mitano ingeweza kujenga Shule tu,CCM ingeshinda bila hata kufanya kampeni.
Maamizi mengine yana gharama hadi unapata stress.Wanapambana na imani,CDM siyo wabunge,madiwani,wenyeviti wa vijiji wala vitongoji mnaowanunua Bali ni waliowapigia hao kura na kuzilinda.Hao hawanunuliki kirahisi msijidanganye.
 
Mtu kama Waitara ndio wa kumnunua mil 800 kweli na akawapa na masharti ya uwaziri ! Hela za nchi hii zinatapanywa kibwege sana !
 
Kuna wale walioahidi kuiua chadema kwa njia zozote ikiwemo Uchawi , leo naandika haya ni june 15 2020 , ni muda uliopita kipindi chao cha makadirio , sasa nawauliza hivi , bado ndoto yao ipo ?

Maana sasa ni dhahiri kwamba Chadema imemshinda Shetani na inakwenda kutwaa nchi hasa baada ya kutangaza hadharani kwamba itafuta ukandamizaji , zikiwemo sheria za kijinga zilizopitishwa ili kuwalinda watu fulani , kutokomeza mauaji ya wasio na hatia yaliyofanywa desturi , itaongeza mishahara ya wafanyakazi kama katiba inavyoelekeza huku ikiahidi kurudisha utaratibu wa kutoa ajira kwa vijana wa nchi hii ambao umefutwa kwa sababu zisizofahamika .

Ewe uliyeahidi kusimamia jambo hili la kuua Chadema ni vema ukajitokeza ili utupe mrejesho au umepanua magoli ?
Huyo alikuwa anaota.
CHADEMA haiwezi kufa kwa sababu hata CCM hawawezi kukubali hilo litokee, kikifa kunaweza kutokea chama principled na serious ambacho hakinunuliki kama CHADEMA kilivyokuwa kabla ya 2015.
 
Kuna wale walioahidi kuiua chadema kwa njia zozote ikiwemo Uchawi , leo naandika haya ni june 15 2020 , ni muda uliopita kipindi chao cha makadirio , sasa nawauliza hivi , bado ndoto yao ipo ?

Maana sasa ni dhahiri kwamba Chadema imemshinda Shetani na inakwenda kutwaa nchi hasa baada ya kutangaza hadharani kwamba itafuta ukandamizaji , zikiwemo sheria za kijinga zilizopitishwa ili kuwalinda watu fulani , kutokomeza mauaji ya wasio na hatia yaliyofanywa desturi , itaongeza mishahara ya wafanyakazi kama katiba inavyoelekeza huku ikiahidi kurudisha utaratibu wa kutoa ajira kwa vijana wa nchi hii ambao umefutwa kwa sababu zisizofahamika .

Ewe uliyeahidi kusimamia jambo hili la kuua Chadema ni vema ukajitokeza ili utupe mrejesho au umepanua magoli ?
Hii tathimini ifanyike baadaa ya uchaguzi mkuu.
 
kweli akutukanaye hakuchagulii tusi,wewe unawatukana chadema kiaina huoni kama wamebaki sijui sita au saba hivi
 
Kuna wale walioahidi kuiua chadema kwa njia zozote ikiwemo Uchawi , leo naandika haya ni june 15 2020 , ni muda uliopita kipindi chao cha makadirio , sasa nawauliza hivi , bado ndoto yao ipo ?

Maana sasa ni dhahiri kwamba Chadema imemshinda Shetani na inakwenda kutwaa nchi hasa baada ya kutangaza hadharani kwamba itafuta ukandamizaji , zikiwemo sheria za kijinga zilizopitishwa ili kuwalinda watu fulani , kutokomeza mauaji ya wasio na hatia yaliyofanywa desturi , itaongeza mishahara ya wafanyakazi kama katiba inavyoelekeza huku ikiahidi kurudisha utaratibu wa kutoa ajira kwa vijana wa nchi hii ambao umefutwa kwa sababu zisizofahamika .

Ewe uliyeahidi kusimamia jambo hili la kuua Chadema ni vema ukajitokeza ili utupe mrejesho au umepanua magoli ?
Leo ndio inazikwa kabisa. Subiri bunge livunjwe.
 
Kuna wale walioahidi kuiua chadema kwa njia zozote ikiwemo Uchawi , leo naandika haya ni june 15 2020 , ni muda uliopita kipindi chao cha makadirio , sasa nawauliza hivi , bado ndoto yao ipo ?
Na wale waliooteshwa kuwa Magufuli angefariki kabla ya 2020 tafadhali...
 
Hakipo? Msajili alikifuta lini?
Yule mbunge Juha-kali aliyelia bungeni kwani alikuwa mbunge wa chama gani kabla ya kulia?
Msajili alishakifuta kitambo, na mioyoni mwa watu kilishafutika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom