Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,544
- 272,265
Kuna wale walioahidi kuiua chadema kwa njia zozote ikiwemo Uchawi , leo naandika haya ni june 15 2020 , ni muda uliopita kipindi chao cha makadirio , sasa nawauliza hivi , bado ndoto yao ipo ?
Maana sasa ni dhahiri kwamba Chadema imemshinda Shetani na inakwenda kutwaa nchi hasa baada ya kutangaza hadharani kwamba itafuta ukandamizaji , zikiwemo sheria za kijinga zilizopitishwa ili kuwalinda watu fulani , kutokomeza mauaji ya wasio na hatia yaliyofanywa desturi , itaongeza mishahara ya wafanyakazi kama katiba inavyoelekeza huku ikiahidi kurudisha utaratibu wa kutoa ajira kwa vijana wa nchi hii ambao umefutwa kwa sababu zisizofahamika .
Ewe uliyeahidi kusimamia jambo hili la kuua CHADEMA ni vema ukajitokeza ili utupe mrejesho au umepanua magoli ?