Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,096
Nawaomba ushauri kuhusu uaminifu au tija ya kampuni ya Magari ya SBT Japan Co, Ltd
Nina mpango wa kutuma pesa ($) huko waniletee gari. Pia ni nani kati ya waajiri wake nimwamini kwani majina yao inaoekana ni mengi (Mfano Ahmer Khan, Aamir Abdul Jabbar, SBT Motors UK Limited nk. ) nk.
Nilichungulia mtandao wao nikajiregista kwa e-mail na sasa wanapiga simu kila kukicha, ila nia ninayo.
Naogopa kutapeliwa jamani.