Goodluck Mshana
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,272
- 1,128
Kwa atayeona hili swali anisaidie... Gari ya 2002 importation charges zake zikoje kwa bandari ya Dar? Ambayo gharama yake ni km $ 3,800/- hivi
Kwa maana ya kwamba kuichomoa bandarini mpaka kuwa nayo kitaa...
Kwa maana ya kwamba kuichomoa bandarini mpaka kuwa nayo kitaa...