Walio macho muda huu tutambuane

Walio macho muda huu tutambuane

Karibuni Sikonge huku maana gongo la leo na nyama choma ni raha tupu.

1374750850_87710_375x500.jpg

Umetisha mkuu
 
Nikisikia mtu anataja hiii mi sisisemu usingizi wote unaruka nakumbuka vijisenti tu na hela ya mboga
 
1.mamvi
2.maviroba
3.mafunguo
4.maembe
5.mzee wa swaga za macho aka wakusizi mjengoni
........
 
Hivi mabilionea wa Tanzania kama vile Mzee wa vijisent 1.6 billion cash, mama Tiba mbadala 1.6 billion cash ukiachia zilizo benk. Hawa bia wanakosaga usingizi kama nilivyoukosa leo kwa sababu ya kuishiwa ?
 
1.mamvi
2.maviroba
3.mafunguo
4.maembe
5.mzee wa swaga za macho aka wakusizi mjengoni
........

Kiongozi kwenye maviroba umeniacha kidogo. anatokea mkoa gani ?
 
Ndg zangu kwa nini hamna usingizi au nyie ni walinzi ofici za ccm ?

Majina ya robo fainali ya ccm haya hapa. Hii habari ni mbichi kabisa msipuuze.
. WAPIGWE TU
.BILAL
.NDANDA KOSOVO aka MAMVI
.AUGOSTINO RAMADHANI
.ASHA ROSE MIGIRO

wengine kina 6, mwenye treni la Dar, Ngwarangwara, Miguu ya ng;ombe, Chemba wanauza sura tu.

mbona unam ignore mjukuu wa wazanaki aka mako!!?
 
viashilia vinaonesha lowassa hana muda mrefu tutamzika! muacheni amwage mbesa jamani coz hakuna mtu huzikwa na manoti!
Nashauri CCM wasilikate jina lake mapema ili angalau atuachie urithi.
cc Pasco
 
Last edited by a moderator:
Lowasa yuko fit physically. Nilimshudia leo anakimbia kupanda jukwaani

aaah wapi , atumie gari kama yupo fit tuone , lowassa mgonjwa jamani hata huko ikulu itakuwa kama tumepeleka mfu kaburini hakuna kazi yoyote atakayoifanya zaidi ya kushinda hospital. mziki wa kampeni si mchezo jamani.
 
Back
Top Bottom