Walio fika nairob

Walio fika nairob

River road kipepeo hotel, kama unaenda na Dar xpress huhitaji kupanda tax kwakuwa ni hatua chache tu toka utakaposhukia
 
kwanza umechakachua jina la jukwaa. Upo jikoni (dar) pasport unataka ukatafute Arusha tena "temporary" acha uvivu nenda uhamiaji tafta ya mda mrefu. Halafu watu wanakutajia garama za hotels bila kujua uwezo wako. Pengne uwezo wako ni wa Ksh. 450. Hata hvyo ukitafta accomodation town center inakuwa poa zaidi kuepuka foleni na usumbufu mwingne.
 
wiseboy thanks nipo dar lakin muda bado upo nitafuatilia arusha hyo passport.

Wewe haupo serious, yaani waondoka Dar kufuatilia passport Arusha? Tena kile kikaratasi cha mwaka mmoja tu!!!

Hebu nenda Uhamiaji Kinondoni, Ilala, Temeke au pale Mkoani "Posta" ufanyiwe mchakato wa kupata hiyo temporary pass.
 
Last edited by a moderator:
River road kuna hotel nying na ndio stand kma ukienda na dar express zpo za ksh1000(20,000tsh) n nzur na usalama ....i enjoyed alot....munyaka paramount hotel ipo karbu na office za tahmeed buses.
 
Habarin wana mum,
Nataraj kwenda nairob mwez wa feb on 20th nahtaji kujua garama za vyumba kwa usiku katika lodge na maeneo lodge ilipo na garama za tax ikiwezekana kutoka stand.

Najua thread sio mahal pake am sory for that.
Thanks in advance.

Ghalama za malazi si issue sana isipokuwa chakula ndo ghalama sana,malazi ni kama Dar tu
 
watu8 ugeni mwingi kaka lakin michango yenu ni constructive naichukua kwa shukran.
 
Last edited by a moderator:
Mapi sory kwa kuchakachua jina la jukwaa.... hi ni trip yangu ya kwanza so sina uzoefu kwa hio mtu akiniambia temp paspot arusha najua ni hivyo nitaenda kwa bas and i expect to stay there for 10 days ....ningependelea hotel iwe economy.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom