Mwenye Link ya mkoa wa shinyanga tafadhali wakuu naomba atuwekee, kuna ndugu niwachek mi niko dar es salaam wanasumbua wanadhani mambo yote ni huku
Ahsante sana!Orodha ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza kwa mwaka 2018 zina patikana ktk websites za wilaya mbalimbali na katika mbao za matangazo katika wilaya hizo
hapa chini ni baadhi ya wilaya zilizo weza kutumia website zao vizuri kwa kuwapa taarifa wananchi juu ya taarifa wanazo takiwa kuzipata....
NB:
tusaidiane kuweka za huko ulipo ili kurahisisha zoezi hili ambalo baadhi ya watendaji kwao limekuwa mtiahani mzito
http://www.mtwaradc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/form one 2018.pdf
Announcement | Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Announcement | Meru District Council
Announcement | Mkoa wa Dar es Salaam
oy singida vp hujyaonAhsante sana!
Mi huyu jamaa namuamini sana kwa sasa kaweka ya Manispaa ya Morogoro>>Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro
NA
MKOA WA SIMIYU: Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga na kidato cha Kwanza Mkoani Simiyu,2018
Shy vp mkuu, sababisha tafadhaliMOSHI YA MBEYA YAPO KWA HUYU JAMAA