Walinzi wa Mbowe wadaiwa kutekwa

Walinzi wa Mbowe wadaiwa kutekwa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,286
Reaction score
10,831
Mgombea Ubunge Jimbo la Hai, ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ametahadharisha kuwa maisha yake yako hatarini

Amesema majira ya saa nane na nusu usiku wahuni walikuja na silaha nzito nzito waliizuia Hotel yao na kuwateka walinzi wake wawili

Mbowe anasema anaamini watu hao waliowateka walinzi wake wanalindwa na mamlaka

Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P
 
Niliona jana usiku Kigogo anasema Sabaya kapewa silaha na OCD Hai hawakujua zinaenda kutumika kwa kazi gani, kumbe ndio kazi yenyewe hiyo.

Huu utawala wa Magufuli ni laana kwa hili taifa.
 
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu
P
Acha unafiki na kujipendekeza, kuwa na aibu wakati mwingine usijifanye hujui yanayoendelea, mtu mzima hovyo
 
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu
P
Kada umekuwa cheap sana siku hizi, very shallow, unaropoka hovyo kama mtoto mdogo.
 
Back
Top Bottom