MARCKO JF-Expert Member Jun 10, 2011 2,258 274 Dec 13, 2011 #1 Januari hiyoooo!. Maajira kibaaao. Niko right au?
Mtego wa Noti JF-Expert Member Nov 27, 2010 2,591 1,599 Dec 13, 2011 #2 ulikuwa kwenye ndoto? maana naona kama umekurupuka kutoka usingizini...
M Mr.creative JF-Expert Member Aug 8, 2011 492 117 Dec 15, 2011 #4 haa we wa wapi? hukusoma communication skills nini?
MBUFYA JF-Expert Member Aug 15, 2011 445 68 Dec 15, 2011 #6 Hebu niondolee hii post hapa mi niendelee kuchoma chips, hakuna cha ajira wala nini, ni full kujiajiri.
Hebu niondolee hii post hapa mi niendelee kuchoma chips, hakuna cha ajira wala nini, ni full kujiajiri.