Walimu wote kuanza Mgomo Jumatatu Tarehe 01/07/2012

Uongozi wa kamati maalum ya kudai haki na maslahi ya walimu kupitia CWT- Chipolopolo; kwa huzuni kabisa tunapenda kuutanfazia Umma kuwa tarehe 01/07/2012 siku ya Jumatatu Walimu wote wa shule za sekondari na shule za Msingi wanakwenda kuanza mgomo wa siku tano kuishinikiza Serikali kuongeza mishahara ya Walimu kuendena na gharama za maisha na inflation. ( Katika mgomo huu walimu wote mnapaswa kushiriki pasipo uoga wowote kwani kwa pamoja tunaweza)

Maombi maalum
1. Tunawaomba wanafunzi wote wa sekondari na msingi wa tuunge mkono kwa siku tano hizo
2. Wazazi wote na wadau wa elimu tunaomba mtuunge mkono katika mgomo wetu ili kuboresha elimu ya watoto wetu
3. Likizo za wanafunzi zitanza kati ya tarehe 7 au 9 Julai hivyo huataathiri mgomo huu
4. Mgomo usio na kikomo kama serikali dhaifu itaendelea kuwa jeuri utafanyika tarehe 16/08/2012 kama ulivyopangwa lakini huu wa tarehe 1/7/2012 ni Pre mgomo kabla shule hazijafungwa na wanafunzi hawajamaliza mitihani na kupata matokeo yao


Walimu tunawajibu wakuitoa ujinga serikali kwa kushiriki mgomo huu pamoja twaweza

Upadate
1.kama Mgomo hautafanikiwa Walimu wote hawatashiriki kutoa na kusahisha mitihani ya nusu muhula ya kwanza
2.Walimu wote kutoshiriki zoezi la sensa ya Watu na Makazi kama wakusanya takwimu

Halafu na wewe usiwaprovoke watu wakaja pata ban bure, wakati bado kuna sensitive issues ambazo watu wanahitajika kudeal nazo kipindi hiki. Hebu kuwa mstaarabu basi japo kidogo. Utatuleteaje habari ambayo inaonekana wazi hata wewe umesimuliwa, na aliyekusimulia inaonekana naye ana akili finyu. Hebu ondoka hapa usiwatibulie walimu mipango yao, ish!
 
Madaktari wanatesa wananchi na nyinyi mnataka kutesa watoto serikari zaifu iko kimyaaa hivi mnadhani kuongoza nchi mchezo eeh....kwl serikali ya sasa dhaifu kwl kwl.
 
uongozi wa kamati maalum ya kudai haki na maslahi ya walimu kupitia cwt- chipolopolo; kwa huzuni kabisa tunapenda kuutanfazia umma kuwa tarehe 01/07/2012 siku ya jumatatu walimu wote wa shule za sekondari na shule za msingi wanakwenda kuanza mgomo wa siku tano kuishinikiza serikali kuongeza mishahara ya walimu kuendena na gharama za maisha na inflation. ( katika mgomo huu walimu wote mnapaswa kushiriki pasipo uoga wowote kwani kwa pamoja tunaweza)

maombi maalum
1. Tunawaomba wanafunzi wote wa sekondari na msingi wa tuunge mkono kwa siku tano hizo
2. Wazazi wote na wadau wa elimu tunaomba mtuunge mkono katika mgomo wetu ili kuboresha elimu ya watoto wetu
3. Likizo za wanafunzi zitanza kati ya tarehe 7 au 9 julai hivyo huataathiri mgomo huu
4. Mgomo usio na kikomo kama serikali dhaifu itaendelea kuwa jeuri utafanyika tarehe 16/08/2012 kama ulivyopangwa lakini huu wa tarehe 1/7/2012 ni pre mgomo kabla shule hazijafungwa na wanafunzi hawajamaliza mitihani na kupata matokeo yao


walimu tunawajibu wakuitoa ujinga serikali kwa kushiriki mgomo huu pamoja twaweza

upadate
1.kama mgomo hautafanikiwa walimu wote hawatashiriki kutoa na kusahisha mitihani ya nusu muhula ya kwanza
2.walimu wote kutoshiriki zoezi la sensa ya watu na makazi kama wakusanya takwimu
huko ni kuzididimiza harakati za walimu,,,wewe umetumwa kutaka kuudhoofisha mgomo wa walimu kwa kupropose tarehe mpya ya mgomo tofauti na iliyo pangwa na cwt,,pili unakuja na poor approach ya mgomo ili walimu waonekane dhaifu na wasiofikiri kwa usahihi..please walimu unaowaandikia sio hao unaowafikiria ni walimu wasomi wenye critical thinking,,,hivyo basi niwaombe walimu kujipanga na mgomo wetu uko palepale...sio sahihi kufanya mgomo wa chinichini kama inavyo sadikika coz waathirika watakua wanafunzi na sasa tupigane an open war
 
Back
Top Bottom