Walimu watarajiwa kwa ngazi ya grade 3A na Diploma, majina yapo nje!

Iyo kitu ina error,inafunguka mpaka page 13 tu!
yah inasumbua sana, nafikiri ni kutokana na mtandao kuwa busy sana. Wamerealise kwenye mida ya sa moja. Mpaka kesho itakuwa fresh.
 
yah inasumbua sana, nafikiri ni kutokana na mtandao kuwa busy sana. Wamerealise kwenye mida ya sa moja. Mpaka kesho itakuwa fresh.
dah mkuu umenishtua mana kuna dogo wangu anawait results yake ya Necta dip may 2011.
 
Back
Top Bottom