someni vizuri kwenye hizo rangi ili tusaidiane kushangaa wadau!! ni simba na yangaWalimu walio ripoti vituo vyao vipya vya kazi kuanzia tarehe 1 mpaka 14 December katika halmashauri ya mji wa Mbinga wameendelea kupata shida huku wakiwa hawajui hatima yao.
Mbona Halmashauri/ wilaya / Manispaa nyingi tu hawajalipwa boss.Walimu walioripoti vituo vyao vipya vya kazi kuanzia tarehe 1 mpaka 14 Desemba katika Halmashauri Ya Mji wa Mbinga wameendelea kupata shida huku wakiwa hawajui hatima yao..
Wawe wavumilivu wataunganishiwa na mshahara waoMbona Halmashauri/ wilaya / Manispaa nyingi tu hawajalipwa boss.
Kizazi cha kulalamika, kizazi cha kuhisi kinaonewa.Walimu walioripoti vituo vyao vipya vya kazi kuanzia tarehe 1 mpaka 14 Desemba katika Halmashauri Ya Mji wa Mbinga wameendelea kupata shida huku wakiwa hawajui hatima yao...
Basi nawewe uliyefundishwa na mwalimu utakuwa umelaaniwa.Kwa Tanzania ualimu ni laana
Hivi umerogwa ama? Hivi huyo mkurugenzi angekuwa ni yeye angeweza kuvumilia kuishi maisha ya shida? Kama serikali imetoa pesa kwanini walimu wasipewe stahiki zao?Watanzania tunapenda sana kulalamika, wakati haujapata ajira ya ualimu ulikuwa unalalamika, umepata ajira unalalamika. Mshukuru Mungu ata umepata iyo ajira.