Walimu wapya hatuna mishahara

Lwoma II

Member
Mar 19, 2013
7
0
Ndugu wana JF naomba kwa yeyote anayeweza kusaidia kupatikana mawasiliano ya Waziri wa Elimu anipe.

Huu ni mwezi wa pili sasa mamia ya walimu tulioajiriwa Machi2013 hatuna mishahara.

Mbaya zaidi majibu ya Maafisa Elimu na Wakurugenzi hayana utu.
 
Tunahitaji busara kubwa sana kwa sasa watanzania sababu tunakoelekea sio pazuri kabisa our whole gvt are corrupted from top to the grassroot level
 
Hivi kwa nini nchi kama hii ambayo inategemea elimu ili kuinua uchumi bado inamdharau mwalimu kiasi hiki? Hivi malengo ya kutokomeza umasikini yatatimia kweli? Aaaagh!
 
Ndugu wana JF naomba kwa yeyote anayeweza kusaidia kupatikana mawasiliano ya Waziri wa Elimu anipe.
Huu ni mwezi wa pili sasa mamia ya walimu tulioajiriwa Machi2013 hatuna mishahara.
Mbaya zaidi majibu ya Maafisa Elimu na Wakurugenzi hayana utu.

ingia kwenye website ya bunge, namba za wabunge zimo humo
andika jina la mbunge au jimbo lake upazipata
 
Ndugu wana JF naomba kwa yeyote anayeweza kusaidia kupatikana mawasiliano ya Waziri wa Elimu anipe.
Huu ni mwezi wa pili sasa mamia ya walimu tulioajiriwa Machi2013 hatuna mishahara.
Mbaya zaidi majibu ya Maafisa Elimu na Wakurugenzi hayana utu.

Tafuta katika website ya Bunge la Tanzania.
 
Je ni Halmashauri gani? Na mkoa gani? Je tuamini serikali inatuhadaa? Tulisikia Kawambwa akisema mmekwishalipwa, kuanzia fedha za kujikimu mpaka mishahara. Ndio maana sina hata hamu ya kuangalia Bunge. Ila nitahidi Jumanne & Jumatano kuangalia bajti ya Elimu. Msikate tamaa....
 
Ndugu wana JF naomba kwa yeyote anayeweza kusaidia kupatikana mawasiliano ya Waziri wa Elimu anipe.
Huu ni mwezi wa pili sasa mamia ya walimu tulioajiriwa Machi2013 hatuna mishahara.
Mbaya zaidi majibu ya Maafisa Elimu na Wakurugenzi hayana utu.

Mkuu, tutajie Halmashauri ya wilaya/mji/manispaa/jiji ambao mpaka sasa hivi hamjalipwa mishahara yenu.
 
Mtoa mada anaulizwa ni halmashauri gan hawajalipwa ameingia mitini!kulikoni???huenda mlichelewa kupeleka viambatanishi vinavyohitajika kuwaingiza kwenye payroll,kimsingi walim takriban wote wameshaingia kwenye payroll na wengi wameshaanza kupokea mishahara!

Km umeenda mwez wa 3 mwishoni,ww utapata salary mwez ujao kwasababu jina lako halikuwahi mapema kuingia kwenye pay roll,

so kua mvumilivu mwalim,hata mwez bado hujamaliza banamm nlikaa 2months without salary!
 
Mkuu, tutajie Halmashauri ya wilaya/mji/manispaa/jiji ambao mpaka sasa hivi hamjalipwa mishahara yenu.

Hata Wilaya Serengeti Mkoa wa Mara mshahara umekuja kwa waalimu watatu tu kati ya wote walioajiriwa,ni pesa ya kujikimu tu walipokea toka walipoti kwenye vituo vyao vya kazi inasikitisha sana tena inavunja moyo kabisa.Kwanini waalimu tu kila siku?
 
Hapo napo mnasema walimu wafanyekazi tuuuuu wasidai et wawe na wito khaaa!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mkuu uliyekuwa unataka mawasiliano ya Waziri wa Elimu haya hapa.
GENERAL
Salutation Honourable Member picture
First Name: Dr. Shukuru
Middle Name : Jumanne
Last Name: Kawambwa
Member Type: Constituency Member
Constituent: Bagamoyo
Political Party: CCM
Office Location: P.O.Box 9121, Dar es Salaam
Office Phone: +255 787 400 700
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: skawambwa@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 15 December 1957
 
Magu hali ni mbaya

Poleni sana. Mnazungumzia Magu gani?. Mbona walimu waliopangwa Itumbili, Rugeye, N'gwamabanza, Ilungu, Kinango, Magu, Sogesca, Kahangala na kwingineko ambao walilipoti muda mwafaka, inasemekana wameshalipwa!. Fuatilieni kwa DED mpate maelezo ya kina.
 
Mkuu na hao wa halmashauri ya wilaya Serengeti je? naambiwa wameambiwa walishindwa kutuma majina kwa sababu huko wilayani bado hapajafikiwa na mkongo wa mawasiliano ndio tatizo, sasa najiuliza ina maana huko kote walikolipwa wao mkongo wa taifa umekwishafika? Au ndio lugha za danganya toto?.
 
Poleni sana. Mnazungumzia Magu gani?. Mbona walimu waliopangwa Itumbili, Rugeye, N'gwamabanza, Ilungu, Kinango, Magu, Sogesca, Kahangala na kwingineko ambao walilipoti muda mwafaka, inasemekana wameshalipwa!. Fuatilieni kwa DED mpate maelezo ya kina.

inasemekana???
 
Mtoa mada anaulizwa ni halmashauri gan hawajalipwa ameingia mitini!kulikoni???huenda mlichelewa kupeleka viambatanishi vinavyohitajika kuwaingiza kwenye payroll,kimsingi walim takriban wote wameshaingia kwenye payroll na wengi wameshaanza kupokea mishahara! Km umeenda mwez wa 3 mwishoni,ww utapata salary mwez ujao kwasababu jina lako halikuwahi mapema kuingia kwenye pay roll, so kua mvumilivu mwalim,hata mwez bado hujamaliza banamm nlikaa 2months without salary!
*hata leo nimetoka huko bado hali mbaya. Nazungumzia wilaya ya Songea (v), lakini hata wenzetu wa Hanang, Dodoma na wilaya zingine bado.
 
Back
Top Bottom