Walimu wapewe posho ya kufundishia

Walimu wapewe posho ya kufundishia

NJALI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
1,534
Reaction score
1,091
Najua ni kazi ngumu kuonana na Rais ana kwa ana au mhusika yeyote wizarani hasa waziri mkuu au waziri atakae husika na Elimu.Naomba aangalie hoja hii:

Mwalimu anafundisha, mwalimu huyo huyo anasahihisha kazi za wanafunzi, anasimamia usafi WA madarasa na mazingira ya SHULE kwa ujumla. Pia anatoa ushauri, kusuruhisha migogoro kwa wanafunzi, pia anasika zamu JUMA zima anahangaika na wanafunzi. Lakini mshahara analipwa kwa kazi moja tu ya kufunfisha !!
Wabunge wana Mshahara, posho za vikao vya kamati mbali mbali, posho ya vikao rasmi (sitting allowances), wana Per diem sijui kama nimepatia spelling n.k. kwa ufupi wao kila kazi inamalipo why not to teachers ? Naomba serikali yetu sikivu kama inavyo jiita utuangalia walimu kwa jicho LA kipekee kwa kutoa posho ya kufundishia katikati ya mwezi na isikatwe kodi.
 
Mabadiliko yanaanzia kwako mwenyewe,acha kuwa busy na watoto wa wenzako wakati huna posho,tumia muda mwingi kufanya kazi binafsi,acha kukomaa na wanafunzi utalaumiwa na watoto wako baadae,ushauri zaidi njoo PM,hata mwalimu mwingine unaweza kuomba ushauri
 
Kwa hiyo mkuu unamshauri asiwe responsible kwenye kazi yake sio?
 
Ni maamuzi yake mimi nimefanya hivyo,ni mhimu kuwa na maamuzi sahihi kwa wakati sahihi,kosa la kwanza ni kuwa mwalimu,sio vizuri kurudia kosa,tumia muda mwingi kuwekeza kwa kutumia mshahara wa ualimu,maisha yatakuwa poa sana
 
Mabadiliko yanaanzia kwako mwenyewe,acha kuwa busy na watoto wa wenzako wakati huna posho,tumia muda mwingi kufanya kazi binafsi,acha kukomaa na wanafunzi utalaumiwa na watoto wako baadae,ushauri zaidi njoo PM,hata mwalimu mwingine unaweza kuomba ushauri

I support you!! 100% ukijifanya unajali saaana kazi ya ualimu utapoteza muda na nguvu buree!!Fanya mishe zako zingne ww lasivyo utakufa maskini!!Maafisa huko Halmashauri wanapiga mihela,,yanadhulumu pesa za waalimu!!!Waalimu hadi leo hii hatujalipwa Malimbikizo,,pesa zetu za kujikimu hamnaa!!kila ukifatilia wanakupiga chenga,,huo ufala unategemea mwalim.ajitolee kufanya kazi kwa bidii??Haiwezekani!!
 
Apo uposawa kabisa mkuranga apa badara ya kuwapa watu 40000 ya kusimamia mtihani wa form four wamewalipa 32500 alafu ww unajifanya kokomaa na kazi ya kufundisha tu
 
I support you!! 100% ukijifanya unajali saaana kazi ya ualimu utapoteza muda na nguvu buree!!Fanya mishe zako zingne ww lasivyo utakufa maskini!!Maafisa huko Halmashauri wanapiga mihela,,yanadhulumu pesa za waalimu!!!Waalimu hadi leo hii hatujalipwa Malimbikizo,,pesa zetu za kujikimu hamnaa!!kila ukifatilia wanakupiga chenga,,huo ufala unategemea mwalim.ajitolee kufanya kazi kwa bidii??Haiwezekani!!

Asante nilikuwa na vpindi karbia 48 kwa wiki nikifka geto kizungu zungu macho ymerudi ndaniiii....
 
Mwalimu kopa pesa ndefu kuanzia 10mil-15mil nenda NMB usikope benki zingine utalia fungua biashara ya uhakika sio ya risk halafu anza utoro,pia usiwe mwoga hakuna jipya nchi hii,kama hujui cha kufanya omba ushauri,miaka inaenda utashituka 40yrs halafu huna kitu!,nani hajui matatizo ya walimu na wanapuuza nawewe puuzia kazi kwa kuwa na visingizio vinavyosababisha utoro
 
Asante nilikuwa na vpindi karbia 48 kwa wiki nikifka geto kizungu zungu macho ymerudi ndaniiii....

Utakuwa uko Primary maana huko ndio balaa zaidi,shituka mwalimu aibu hadi lini?hata kununua Toyota vitz kazi nzito
 
lakini jamani Kauli mbiu yetu ni HAPA KAZI TU. Sasa tutatekelezaje haya kwa kuwa watoro KAZINI ? Bora hata aliyeshauri kukopa benki na kuanzisha biashara.
 
Endelea kusema HAPA KAZI TU,halafu ukizeeka usumbue watoto wako wakati pension imeisha
 
binafsi nasubiri waje wachangiaji wengi nahisi ntapata kitu may be mkuu

Endelea kusubiri hujui walimu tunajificha kuanzia mtaani hadi kwenye mitandao,chezea ualimu wewe,hadi muuza mahindi ya kuchoma anadharau utamsikia walimu wanapokea Tsh160,000 kwa mwezi,,lazima aseme kwasababu hajawahi kuona gari au nyumba nzuri ni ya mwalimu
 
ni kweli mkuu embu toa wazo usipondee tu hii kada ya ualimu ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu
 
Hapa Kazi Tu!
~>Ishu ku attend shuleni(kazin)... Hakuna kufundisha kwa kujitolea.
Nawapenda walimu wa siku izi, hawanaga maneno maneno wao vitendo tu. Wanajazana maofisini na mikoroshoni kupiga stori tu. afu jion hakuna kurudia shule ni kukesha kijiwe tu.....'
WENGINE WAFAIDI NA WENGINE WAUMIE.
*HAPA KAZI TU*
 
Lakini jamani tunapofikilia kero wanazozipaya walimu tucwe na maamuzi ya jazba coz kila kitu kinautatatibu wake wa kifanikiwa so nashauri jaribuni kuyapeleka haya matatizo yenu kwenue ngazi stahili coz yawezekana mkafanikiwa kutatua tatizo hili, huu n uongozi mwengine, alaf kama ukisema uwaache hao wanafunzi mtakuwa mmewafanyia dhulma ebu fikiri kama wewe ungeliachwa ungelikuwa mwalimu.
 
Back
Top Bottom