hakikaAisee pole sana kwa mzee hakika wewe mwanae uko responsible kusimama kwenye haki zake

Ok ni kwamba CWT kama kinavyojiita ni chama cha waalimu tukidhani ni cha kutetea haki za waalimu sio kweli maana ndio wanyonyaji wakuu wa waalimu.
Wamejining'iniza kwenye salary zetu kama mifuko mingine ya pension, bima ya afya,loan board ambapo hii mingine angalau tunajua ni jinsi gani tunafaidika nayo...kwa mfano tu pension PSPF wanakata 5% ya mshahara, na hii hela tunajua wazi ni mchango wa mafao ya uzeeni. Sasa hawa cwt wanakata 2% ya mshahara wa mwalimu. Kwa mfano mwl anayelipwa 720 000/= analipa cwt sh 14 320/=, mwalimu 940 000/= anakatwa cwt 16 400/= kwa hiyo unavyozidi kupanda nao wanapanda...
Japo ni sheria kwamba kila wafanyakazi wana chama cha kutetea haki zao, cwt walio watetezi wa waalimu hakina machungu na waalimu waliokuwa walalamikaji wa siku nyingi lakini matokeo yake ni wao walio kwenye chama wananufaika na kujitajirisha kwa kuwanyonya waalimu,tukumbuke kuwa kundi la waalimu ndilo lenye wafanyakazi wengi kuliko wote.
Kwa mfano tu mimi shuleni kwangu tupo waalimu 40 na tumeanza kazi miaka ya majuzi makato yetu ni kwenye elf 16 400*40= 656,000 hii ni makato ya mwezi mmoja.
Haiwezi kuingia akilini kwamba kila mwezi shuleni kwangu tunachangia hiyo hela kwa cwt ni vile tu wamepita juu kwa juu na hatuna amri juu ya hiyo hela..piga hesabu kwa mwaka, miaka n.k..
Au tufanye hesabu ya mtu mmoja japo ni ngumu maana mshahara unapanda kila mwaka na makato yao yanapanda pia. Lets take anayekatwa 25 kila mwezi..25 000×12=300 000 kwa mwaka mwalimu huyo mnyonge anaichangia laki 3.
300 000 × miaka 30 = 9 000 000.
Kwa hiyo mwalimu aliyefanya kazi miaka 30 anachangia 9m na zaidi kwa sabau mshahara unapanda maana kwa mfano mwl mwenye kulipwa 2.5m anakatwa elf50.
Sasa hawa ni watetezi wa wanyonge kweli?
Wakati wa uchaguzi wa uongozi wa cwt mtu anadiriki kukopa 20m ya kufanyia michongo ya kupata uongozi maana anajua akipata hiyo position atailipa hela na kuanza kula hela kiulaini ya waalimu wanyonge.
Makato ya cwt yamekuwa machungu sana kwa waalimu na ndio maana hatuitaki kwani hawana msaada wowote kwa waalimu zaidi ya kula jasho letu. NI BORA WANGEKATA FIXED RATE ya hela kwa mfano elfu5 tu kwa kila mwalimu kila mwezi kama raisi wetu atashindwa kutuondolea hili jipu kwenye salary slip yetu....
NIMESAHAU KITU...MWALIMU AKISTAAFU HAWA CWT WANAMZAWADIA MWALIMU MABATI 20 YALE YENYE THAMANI YA SH ELF17 NA KITAMBAA CHA SURUALI PINDI ANAPOSTAAFU BAADA YA KUMNYONYA MAMILIONI YA KUTOSHA
Imekuwa hivyo kwa kuwanlitegemea mapambano makal baada ya walimu wenye digrii kuongezeka kuanzia miaka ya 2005 nikiamin kuwa watapambana kisom zaid lakin hamna lolote
Kuna mkurugenzi amewahi kushtakiwa (nimesahu halmashauri husika), na waalimu walishinda kesi. Sijui utekelezaji wa ile hukumu ulifikia wapi.Ukisoma public standing order kifungu 61(1) mwaajiri haruhusiwi kukata mshahara wa mtumishi ama mtumishi amemuelekeza kwa maandishi kwa kujaza fomu namba tatu TUF 3, Hivyo wakurugenzi watashitakiwa kukata mishahara ya wafanyakazi bila ridhaa yao. Walimu waamke Wasome sheria za kazi waungane waishitaki Cwt na washenga wao wakurugenzi kwa kuvunja sheria za utumishi wa umma.
It's simple, hutaki makato acha ualimu.Ok ni kwamba CWT kama kinavyojiita ni chama cha waalimu tukidhani ni cha kutetea haki za waalimu sio kweli maana ndio wanyonyaji wakuu wa waalimu.
Wamejining'iniza kwenye salary zetu kama mifuko mingine ya pension, bima ya afya,loan board ambapo hii mingine angalau tunajua ni jinsi gani tunafaidika nayo...kwa mfano tu pension PSPF wanakata 5% ya mshahara, na hii hela tunajua wazi ni mchango wa mafao ya uzeeni. Sasa hawa cwt wanakata 2% ya mshahara wa mwalimu. Kwa mfano mwl anayelipwa 720 000/= analipa cwt sh 14 320/=, mwalimu 940 000/= anakatwa cwt 16 400/= kwa hiyo unavyozidi kupanda nao wanapanda...
Japo ni sheria kwamba kila wafanyakazi wana chama cha kutetea haki zao, cwt walio watetezi wa waalimu hakina machungu na waalimu waliokuwa walalamikaji wa siku nyingi lakini matokeo yake ni wao walio kwenye chama wananufaika na kujitajirisha kwa kuwanyonya waalimu,tukumbuke kuwa kundi la waalimu ndilo lenye wafanyakazi wengi kuliko wote.
Kwa mfano tu mimi shuleni kwangu tupo waalimu 40 na tumeanza kazi miaka ya majuzi makato yetu ni kwenye elf 16 400*40= 656,000 hii ni makato ya mwezi mmoja.
Haiwezi kuingia akilini kwamba kila mwezi shuleni kwangu tunachangia hiyo hela kwa cwt ni vile tu wamepita juu kwa juu na hatuna amri juu ya hiyo hela..piga hesabu kwa mwaka, miaka n.k..
Au tufanye hesabu ya mtu mmoja japo ni ngumu maana mshahara unapanda kila mwaka na makato yao yanapanda pia. Lets take anayekatwa 25 kila mwezi..25 000×12=300 000 kwa mwaka mwalimu huyo mnyonge anaichangia laki 3.
300 000 × miaka 30 = 9 000 000.
Kwa hiyo mwalimu aliyefanya kazi miaka 30 anachangia 9m na zaidi kwa sabau mshahara unapanda maana kwa mfano mwl mwenye kulipwa 2.5m anakatwa elf50.
Sasa hawa ni watetezi wa wanyonge kweli?
Wakati wa uchaguzi wa uongozi wa cwt mtu anadiriki kukopa 20m ya kufanyia michongo ya kupata uongozi maana anajua akipata hiyo position atailipa hela na kuanza kula hela kiulaini ya waalimu wanyonge.
Makato ya cwt yamekuwa machungu sana kwa waalimu na ndio maana hatuitaki kwani hawana msaada wowote kwa waalimu zaidi ya kula jasho letu. NI BORA WANGEKATA FIXED RATE ya hela kwa mfano elfu5 tu kwa kila mwalimu kila mwezi kama raisi wetu atashindwa kutuondolea hili jipu kwenye salary slip yetu....
NIMESAHAU KITU...MWALIMU AKISTAAFU HAWA CWT WANAMZAWADIA MWALIMU MABATI 20 YALE YENYE THAMANI YA SH ELF17 NA KITAMBAA CHA SURUALI PINDI ANAPOSTAAFU BAADA YA KUMNYONYA MAMILIONI YA KUTOSHA
Mwl hebu sema malalamiko yako ya msingi.Ok ni kwamba CWT kama kinavyojiita ni chama cha waalimu tukidhani ni cha kutetea haki za waalimu sio kweli maana ndio wanyonyaji wakuu wa waalimu.

Cwt ni tawi la ccm ,,walimu komaeni mbona wabunge wanavuta hela ndefu na kazi wafanyayo ni ndogoHalafu viongoz wez wa CWT wakistafu wanapewa ukuu wa wilaya....
Tunawasaidia kuwaamsha akili zao mkuudu nchi hii wasomi hawajitambui....sasa walimu wanashindwaje kuvunja hicho chama na kuunda kingine..
note Tanzania ni nchi ya kwanza duniani kwa unafiki.
Ndomana tunaongea sana vitendo sifuri
Umeliweka vizuri sana hili. Katika fani ambayo ukombozi wao unategemea kudra za Mungu labda miaka 1000 ijayo, ni walimu wa Tanzania. Hawana umoja ni sawa na nyumbu wa Serengeti. Kulalamika tu lakini hakuna hatua wanazochukua.
Walimu wanapaswa kuwekwa kwenye kundi la special group kwa kutojitambua licha ya kuwa sie wengine tumeamua kuvaa mabomu kuwateteaMwl hebu sema malalamiko yako ya msingi.
Weka katiba bullet form iwe rahisi kuyapitia na kujadili!
Mi nitajaribu kufafanua juu ya percentage ktk makato!
Nadhani huo ni mfumo sahihi zaidi, Mwl mwenye elimu kubwa ana advantage zaidi over Yule mwenye elimu ya chini, lkn uwiano wa michango usipofuata asilimia kuna mwingine 5000 ni zaidi ya 5% ya mshahara wake, so ktk mwezi yeye ana kuwa relatively kaumia zaidi!
Chama chenu kama hakina maslahi kwenu, kulikoni kulalamika weka hoja ktk mpangilio!
MF.
1. Utetezi wa maslahi ya walimu
Chama chetu kimeshindwa kusaidia walimu kupata maslahi yao. Hadi sasa kuna jumla ya walimu xxx ambao wanadai zaidi ya TSh. Yy huku chama kikishindwa kuchua hatua.
Maoni yangu: chama kupitia matawi yake kiandae orodha ya madai ya walimu yote, kifungue kesi dhidi ya waajiri na kisaidie kulipa mawakili watakaosimamia kesi etc.
Ukitumia mtindo wa aina hii sio kwamba mawazo yako yataeleweka lkn pia unaweza kusaidia viongozi wako wakapata kujua potential ya wanachama wao!
Wapo wanaodhani kuwa hata walimu wenyewe hamjui kitu ndio maana wanawachezea!
Ni lazima waungane, waache hofu na woga ili wajikwamue kutoka mikononi mwa huyo mnyonyaji dhalimu alimaarufu CWT.Mshikamano ndio silaha;Mbona mbeya km cjakosea kuna chama kipya cha walimu;Tatzo pia serikali yetu na walaji wachache hukwamisha harakati za uundwaji wa vyama hv ili waendelee kupga hela;Kisheria mtu ana haki ya ku_join Union yyte,sio lazma Cwt;Problem walimu weng uchumi ni mbovu hvyo huongozwa na hofu juu ya kufungiwa mishahara yao au kufutwa kazi hvyo kupelekea kushndwa kutetea haki zao