Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,133
Huu ni msiba mzito Kwa hawa walimu, kinachofanyika ni halmashauri kutoa maelekezo Kwa wakuu wa shule ndipo mkuu anaitisha kikao cha walimu kisichokuwa na Chai Wala posho kutoa maagizo ambayo kimsingi yananyonya walimu nawalimu hawana haki ya kuuliza maana waliotoa maelekezo hawapo
Sasa kumbe ipo hivi, wakuu wa shule wanapewa posho ya madaraka kila mwezi hivyo hawawezi kuwatetea walimu wenzao kwenye vikao kwasababu wanakuwa waoga kutumbuliwa kwenye nafasi zao, na mkuu wa shule akija shuleni mwalimu ukionekana unadai haki zako anaanza kukufanyia visa vya hovyo, kama ruhusa utanyimwa, fursa za semina hupati, uhamisho hupati hata mkopo inahitaji saini ya mkuu hapitishi, hapo mpaka utakoma
Ni divide and rule, mmoja anapewa wengine mtakoma