Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Zipo changamoto nyingi katika elimu yetu ya shule za msingi za serikali ambapo watoto wengi wa maskini na kipato cha chini ndo wanaposoma zinachangamoto ya uhaba wa ualimu, wanafunzi kukaa chini, kutokua na maabara n.k
Ila changamoto nayotaka kuongelea kwenye huu uzi ni swala zima la kiwango cha elimu cha walimu wa shule za msingi
MIMI NIKIWA RAIS NTAFANYA MABORESHO MAKUBWA SANA SHULE ZA MSINGI KAMA YAFUATAYO
Nchi kama Finland, Singapore ili uwe mwalimu ni shuhuli pevu ndo maana wanatoa elimu bora sana hata sisi Tanzania tunaweza kama tukiamua sio fair ukiongea na mtoto wa shule za serikali ni kama anaenda kukua na sio kuelimika

- Kuongeza wigo wa masomo ya kingereza
- Kusoma programming language tokea primary
- Kusoma graphics
- Kusoma words, excel na PowerPoint
- Kufundishwa kuifanyia maintanance computer