Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,905
- 172,788
Somo lako wanafunzi wataelewa sanaHabari za usiku jf....
Naomba kusaidiwa na wahusika hapo juu, naulizia Shule y information hata kwa pm... Nitashukuru nikipata taarifa kutoka kwa wahusika.
Kwani imekuwajeHahaaaaa,,,,kazi kweli kweli
Shukran, nahitaji zaidi o'levelTambaza pako poa kabisa ni advance level tu
Nahitaji Shule ya O'level, hapo juu nmeambiwa Tambaza ni A'levelNenda Tambaza
Kime tick nini maana nlikuwa nakuona sehemu moja hivi ukisubiri .......,,Nahitaji Shule ya O'level, hapo juu nmeambiwa Tambaza ni A'level
Tofauti na hapo best? Nyingine?Nenda Azania pako poa sana
[emoji12]Am a bilology teacher do you want a reproduction topic?just pm I will do it practically evelynsalt.
Ipo maeneo gani? Ina o'level na A'level?Nenda BENJAMIN WILLIAM MKAPA HIGH SCHOOL hapo amna kubaniwa utakutana second master Mr JOEL but jitahd uwe na kigar ata cha kuzugia maana mateacher pale wanashindana ndinga 2