Walimu wa secondary kwenda msingi serikali inakwepa nini

Walimu wa secondary kwenda msingi serikali inakwepa nini

Tatizo hujaelewa,hapo Uganda tu,wanatoa degree in primary education.huyo mtu mwenye degree anatakiwa asome mambo ya Shule ya msingi,sio asome mambo ya sekondar harafu umpeleke akafundishe Shule ya msingi.sasa,niambie chuo gan Tanzania wanatoa degree ambayo inadili na elimu ya Shule ya msingi.usikurupuke tu kubisha.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Kuna kipindi nilisikia wanataka kuanzisha kitu kama hicho sijui waliishia wapi?
 
Kisingizio ni kwamba walimu wa Arts ni wengi kupita mahitaji, kwakua kufutwa kazi haiwezekani kinachofanyika ni kuwahamishia msingi ili wasitie hasara nchi ya viwanda.
 
Duuuu hii nchii chukua chako mapema.... La sivyo ni pasua kichwa
 
Huenda inakwepa lawama zszojulikana!, how comes bachelor aliyefunzwa namna ya kumwongoza mwanafunzi namna ya kusoma na kujitaftia mwenyw material resources aende kumfundsha mtoto msing. But naamin ufanis kushuka kwa kas
 
nimeona list ya hai yaani mwalimu atolewe machame girls amepelekwa shule ipo machame getini juu huko makadirio ya nauli kwenda na Kurudi si chini ya elfu 5 sasa mshahara utaongezwa Au ili aweze pambana na hio hali ya nauli na kula
 
Tatizo hujaelewa,hapo Uganda tu,wanatoa degree in primary education.huyo mtu mwenye degree anatakiwa asome mambo ya Shule ya msingi,sio asome mambo ya sekondar harafu umpeleke akafundishe Shule ya msingi.sasa,niambie chuo gan Tanzania wanatoa degree ambayo inadili na elimu ya Shule ya msingi.usikurupuke tu kubisha.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Ni kwamba MTU anasoma degree ( law, business, arts, science, Engineering etc.) Baada ya degree ya kwanza anasoma certificate kwa miezi miwili au mitatu anaenda fundisha either primary or secondary,
 
Kazi ipo, hebu tusubiri tuone. Tunapenda sana short cut.
 
Maskini walimu, jiandaeni kisaikolojia. Maana msingi una kazi sio tu ya kufundisha , na kutuliza kelele darasani. Polen! Walimu Ni Wito.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mwongo mkubwa, ukienda nchi za watu chekechea anafundishwa na degree holder siyo certificate, primary hadi secondary pia ni degree holder na PhD,


Acha kukalili , mwalimu Wa sekondari ambae ni degree holder BAED/ BED Tanzania amefundishwa kumfundisha kijana kuanzia miaka 15 nakuendelea,

Amejikita kuwenye sylabus ya sekondari kwa miaka mitatu, na amepata mbinu za kufundisha kulingana na content ya vijana wa umri huo!!

unapo lazimisha kumpeleka msingi mtu amabae hana wala hajui sylabus wala mtaala wa shule za msingi na hakufunzwa kuwahudumia rika hilo ni upuuzi ulio kithiri!!!


Unaposema degree holders wanafundisha chekekechea upo sawa ila kwa nchi ulizo taja hao watu wamekuwa specifci kwenye umri huo wa chekekchea, wamekua trained kumfundisha mtoto, na wamejifunza namna ya kuwasilisha mada kwa umri huo!!!

hujaskia baechelor za education in special education? Au adult education?


Hivi Mwalim aliye jifunza historia ya O Level na A Level tu , kwa miaka mitatu leo unataka akafundishe haiba namichezo ??? Anajua hata maana ya haiba na michezo?? Au tuna enda kwa kudhani anajua???


Acheni kudhalilisha elimu, nyinyi!!
 
Kwa taarifa ya jumla, kwenye mifumo ya elimu ya nchi nyingi, kama sio zote, zilizoendelea hakuna mwalimu asiyekuwa na shahada ya chuo kikuu!
 
hii kwenye uchumi tunaita missalocation of resource

Mungu ibariki Tanzania

They can’t win, either way. ...Spending millions of taxpayers’ money on salaries of surplus social science teachers at secondary school level isn’t an optimal allocation of resources either!
 
Acha waende maana walimu wa art wamekuwa wengi mno , unakuta darasa moja mfano kidato cha pili history wanafundisha walimu wawili , unakuta walimu wanashinda hawana kazi wanapiga majungu tu chini yamiti ...asante serikali kwa kuliona hili.
 
They can’t win, either way. ...Spending millions of taxpayers’ money on salaries of surplus social science teachers at secondary school level isn’t an optimal allocation of resources either!
Is it real there is surplus of social science teachers in our schools??
 
Hapa kuna shida, elimu yetu itazidi kudidimia Zaidi. Mafunzo ya mwalimu wa primary ni tofauti na sekondari anashughulika na adolescent.
Pia kupunguza walimu wa sekondari kwa kigezo kwamba wamezidi sio hoja ya kuwaambia watz wenye akili timamu. Idadi ya wanafunzi waliopo mashuleni ndio inaonesha uhutaji wa walimu na wala sio idadi ya vipindi ambavyo mwalimu anafundisha.

Unakuta shule ina wanafunzi mia tano wa kidato cha kwanza, wamewekwa kwenye vyumba vinne, hapo inachukuliwa mwalimu anafundisha madarasa manne wakati yalitakiwa yawe kumi au zaidi kutokana na idadi ya wanafunzi na ratio ya kila wanafunzi 40 kwenye darasa
Nyongeza: Maximum amount ya periods per week is 24.Obviously, kama wanafunzi wamerundikwa kwenye chumba kimoja,uhalisia wa idadi ya vipindi kwa walimu hauwezi kuonekana.Kwa nini? Darasa litaonekana lina mkondo mmoja while it's more than one stream.
Anyway, tutafika.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom