SDG
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 7,631
- 8,078
Lakink si wapo?Sasa hivi huwezi kupewa ukuu ukiwa na cert mkuu,wqliokuwepo wanaisha hivyo then experience nayo inamata
Lakink si wapo?Sasa hivi huwezi kupewa ukuu ukiwa na cert mkuu,wqliokuwepo wanaisha hivyo then experience nayo inamata
Saikoloj,sociology of education bado haziwez kuwa msaada kwenye zoezi hili.Walimu acheni kulia lia, nyie muda wote ni kulialia tu, psychology mlikuwa mnasoma nn, tunataka tuone hizo implications kwenye field ya elimu, mfano, Piaget's stages of child development ambazo zipo nne , sensorimotal stage, preoperational stage, concrete stage na formal operational stage zinaonesha kabisa mtoto Wa umri Fulani anaweza kusoma kitu gani na kwa namna gani, na wengine tulikuwa walimu acheni kudanganya umma kwamba hamuwezi kufundisha s/msingi, labda km siku hizi hamsomi psychology
Kuna bachelor of Secondary Education?Mkuu kama we sio mwalimu naomba ukae kimya, hao unaowasemea wana degree sijui PhD wanakuwa wamespecialize kufundisha shule za misingi ila sio kama huku ambako hao wanaoamishwa wamespecialize kufundisha sekondari.
Hakuna mwali mkuu mwenye certificate labda shule husika iwe inawalimu wrote kwenye certificateNawaza tu, hao walimu wakuu wenye certificate afu unaletewa surbodinate mwalimu wa shahada.
Art niwengi sana aisee inafika hadi wanagawana topic acha waje huku primaryHata sielewi wanatumia vigezo gani kuhamisha hao walimu wa art, ikiwa hata hao wa art wanaspecialize ktk masomo husika,eg.English, geography or Hist kisw nk.
Hakuna kitu kama hicho mbona walimu wa temporary wanafundisha tu secondary na wanafunzi wanafahuru sembuse mwalimu aliyehitimu mafunzo ya ualimu ashindwe kufundisha msingi.Kwa nchi zinazoelewa umuhimu Wa elimu,hawawez kumchukua mwalimu Wa sekondar kumpeleka Shule ya msingi,sababu njia za ufundishaji wa Shule za msing na sekondar ni tofauti,content ya msing na sekondar ni tofauti,na kuna tofauti ya kiuzoefu pia.sasa sijajua wamezingatia vigezo gan?
Ngoja tutumie input tulizonazo tuone output itaadhiri kiasi gani matokeo ya watoto then tutayarudia mawazo yakoHapa kuna shida, elimu yetu itazidi kudidimia Zaidi. Mafunzo ya mwalimu wa primary ni tofauti na sekondari anashughulika na adolescent.
Pia kupunguza walimu wa sekondari kwa kigezo kwamba wamezidi sio hoja ya kuwaambia watz wenye akili timamu. Idadi ya wanafunzi waliopo mashuleni ndio inaonesha uhutaji wa walimu na wala sio idadi ya vipindi ambavyo mwalimu anafundisha.
Unakuta shule ina wanafunzi mia tano wa kidato cha kwanza, wamewekwa kwenye vyumba vinne, hapo inachukuliwa mwalimu anafundisha madarasa manne wakati yalitakiwa yawe kumi au zaidi kutokana na idadi ya wanafunzi na ratio ya kila wanafunzi 40 kwenye darasa
Big Result NowMaamuzi ya serikali yetu hufanywa usiku mmoja na ndo matokeo yake haya
Ni kama hatuna watafiti kabisa hapa kwetu ,wana mbwela mbwela tu!
Ufahuru lazima uongezeke maana walimu wataongezekaHuenda inakwepa lawama zszojulikana!, how comes bachelor aliyefunzwa namna ya kumwongoza mwanafunzi namna ya kusoma na kujitaftia mwenyw material resources aende kumfundsha mtoto msing. But naamin ufanis kushuka kwa kas