Walimu wa science wanaitajika

Nokia3D

Member
Feb 2, 2013
74
1
Habari ndugu.. St Sebastian Memorial Academy inawatangazia nafasi za kufundika mkoani Mwanza-Sengerema.

Walimu wanaohitajika wawe wakufunzi wenye PCB/PCM/CBG/CBN na biashara.. Kuanzia stashahada ..
Kimo cha mshahara ni kizuri kulingana na mazingira mazuri ya kufanyia kazi shuleni hapo..

Tafadhali mjuze na mwezako usaili ni muda wowote kuanzia sasa mpaka tarehe 20 mwezi ujao..

Kwa mawasiliano na assistance head mistress + 255(0) 765813311
 
Back
Top Bottom