walimu wa kemia ,fizikia na bailojia

Baba advent

Member
Nov 23, 2011
72
16
serikali inajivunia kufaulisha kutokana na wanafunzi kufanya vizuri kwenye masomo hayo sababu wanafunzi wanabebwa na prac,sasa jamani kwa walimu wa masomo hayo fanyeni kama mmekosea changanyeni mambo,kinachotakiwa kuwa huku wekeni kule cha kule wekeni huku ili mradi mambo hayaendi.
 
Usihamasishe chuki ndugu yangu! Ikizingatiwa wadogo zetu wanasoma bila hata ya kuwa na walimu. Kumfelisha mtu kielimu ni kama kumuua, kuna rafiki yangu alifelishwa prac ya kemia, japo alifaulu, lakini mpaka kesho anamhukumu mwalimu wake.
AMANI IWE NASI!
 
Back
Top Bottom