Walimu wa ICT, Hotel Management na CFF wanatakiwa

Joathade

New Member
Mar 7, 2019
3
1
Chuo cha QBSCL Training College ni chuo kipo Ilala Bungoni Dar es Salaam. Tuna uzoefu wa kutoa mafunzo ya ICT na Biashara. Kwa sasa chuo kinatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo:

1. Mwalimu wa ICT (NAFASI 2) - Awe amehitimu shahada ya ICT kwenye chuo chochote kilichosajiliwa na TCU na Awe na uwezo wa kufundisha kwa vitendo na nadharia.

2. Mwalimu wa Clearing and Fowarding (NAFASI 2) - Awe na ufaulu wa kuanzia diploma ya masomo ya Clearing and Fowarding.

3.Mwalimu wa Hotel Management (NAFASI 2) - Awe na ufaulu wa kuanzia diploma ya Hotel Management au Hospitality.

Maombi yatumwe kwenye email address zifuatazo:
qbsclcollege@gmail.com au joasdeous@gmail.com

Kwa maelezo zaidi piga 0657049414.
 
Chuo cha QBSCL TRAINING COLLEGE ni chuo kipo Ilala Bungoni Dar es Salaam. Tuna uzoefu wa kutoa mafunzo ya ICT na Biashara.
Kwa sasa chuo kinatangaza nafasi za Kazi Kama ifuatavyo:

1. Mwalimu wa ICT (NAFASI 2)- Awe amehitimu shahada ya ICT kwenye chuo chochote kilichosajiliwa na TCU na Awe na uwezo wa kufundisha kwa vitendo na nadharia.

2. Mwalimu wa Clearing and Fowarding (NAFASI 2) -Awe na ufaulu wa kuanzia diploma ya masomo ya Clearing and Fowarding.

3.Mwalimu wa Hotel Management (NAFASI 2)-Awe na ufaulu wa kuanzia diploma ya Hotel Management au Hospitality.

Maombi yatumwe kwenye email address zifuatazo:
qbsclcollege@gmail.com au joasdeous@gmail.com

Kwa maelezo zaidi piga 0657049414.
Mkataba wa mshahara ukoje?
 
Mbaka tukipata wanafunzi wengi ila kwa sasa tunawanafunzi wachache tutalipana posho tu
 
Chuo cha QBSCL Training College ni chuo kipo Ilala Bungoni Dar es Salaam. Tuna uzoefu wa kutoa mafunzo ya ICT na Biashara. Kwa sasa chuo kinatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo:

1. Mwalimu wa ICT (NAFASI 2) - Awe amehitimu shahada ya ICT kwenye chuo chochote kilichosajiliwa na TCU na Awe na uwezo wa kufundisha kwa vitendo na nadharia.

2. Mwalimu wa Clearing and Fowarding (NAFASI 2) - Awe na ufaulu wa kuanzia diploma ya masomo ya Clearing and Fowarding.

3.Mwalimu wa Hotel Management (NAFASI 2) - Awe na ufaulu wa kuanzia diploma ya Hotel Management au Hospitality.

Maombi yatumwe kwenye email address zifuatazo:
qbsclcollege@gmail.com au joasdeous@gmail.com

Kwa maelezo zaidi piga 0657049414.
ok
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom