Mwalimu wa ICT anahitajika

Mwalimu wa ICT anahitajika

M Mtimbichi

Member
Joined
Feb 3, 2019
Posts
63
Reaction score
44
Nafasi za kazi,
Anahitajika Mwalimu wa ICT kufundisha Level 1 & 2

Sifa:
1. Awe amehitimu kidato cha nne na kupata angalau pass(D) mbili kwenye masomo yake
2.Awe amehitimu mafunzo ya Ufundi stadi kwenye Masomo ya ICT level 3 kutoka VETA
3. Awe anaweza kufundisha masomo mengine Kama vile hesabu, Engineering science na Technical Drawing
4. Aliyehitimu mafunzo ualimu wa Ufundi kutoka chuo Cha Ualimu wa ufundi Cha Morogoro (MVTTC) atepewa kipaumbele zaidi.

Mawasiliano: 0754928622
 
Back
Top Bottom