Walimu wa arts mmekubali matokeo kirahisi

Walimu wa arts mmekubali matokeo kirahisi

Kukosa ajra ya ualimu serikaln nayo n fursa xo watu wanaitumia iyo fursa.
 
Tuliopo kazini tunaujua ukweli halisi juu ya wingi wa walimu wa Arts. Kwa taratibu za serikali, mwalimu anapaswa kuwa na vipindi minimum 24 maximum 28 kwa wiki sasa walimu wa Arts wengi wana vipindi 9 hadi 12 kwa wiki
Sisi shuleni kuna walimu wa civics wanafundisha stream moja tu hivyo wana vipindi 2 kwa wiki, na kwa kwa pamoja yaani double hivyo anaingia class mara moja na siku moja kwa wiki. Tunakosa hela tu ili tunenepe.
 
habari zenu,
toka serikali itangaze kutoa ajira kwa walimu wa sayansi tu, kuna kimya kimetanda toka kwa walinu wa arts tofauti na mwanzo mlivyokuwa mnasubiria ajira je mmeridhija na serikali kuwanjia vaharini, hamuoni ukimya wenu unahalalisha serikali kuwapotezea na wadogo zenu wanaofuatia.
hebu jikusanyeni bwana mtoe matamko ya vitisho au mna msamaha wa kurudisha mkopo.
Matamko yanatolewa Jf tu hayafiki popote!
Watu wametawanyika ndio shida
 
Tumeshachoka na sarakasi za hii serikali, tumeamua tufanye ishu zingine, tutabuni tu ishu zingine tutafanya ila 2020 tutalipiza walichotufanyia
 
habari zenu,
Toka serikali itangaze kutoa ajira kwa walimu wa sayansi tu na kuwaacha na sintofahamu walimu wa arts, kuna kimya kimetanda toka kwa walimu wa arts tofauti na mwanzo wakati wa kuubiria ajira kulikuwa na nyunzi nyingi za kuulizia ajira humu, hamuoni ukimya wenu unahalalisha serikali kuwapotezea nyie na wadogo zenu wanaofuatia huku mlikuwa na matumaini ya kuajiriwa na serikali.
kumbukeni kuwa kujiajiri kwa taaluma ya ualimu sio kitu rahisi ni kama hakuna uwe uwezekano na sekta binafsi haiwezi hata kuchukua 1% ya idadi yenu na mara nyingi sekta binafsi wamejitosheleza walimu.

hebu jikusanyeni bwana mtoe matamko ya vitisho au mna msamaha wa kurudisha mkopo.
Ina maana nchi nzima kuna surplus ya walimu wa arts ???? ......
 
Ina maana nchi nzima kuna surplus ya walimu wa arts ???? ......
kiujumla walimu wa arts wanatosheleza ni mgawanyo mbaya tu kuna maeneo yana walimu wengine sana wakitawanaya vizuri hakuna uhaba wa wal;imu wa sanaa hata kidogo.
 
Back
Top Bottom