Walimu wa arts mmekubali matokeo kirahisi

shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,430
3,531
habari zenu,
Toka serikali itangaze kutoa ajira kwa walimu wa sayansi tu na kuwaacha na sintofahamu walimu wa arts, kuna kimya kimetanda toka kwa walimu wa arts tofauti na mwanzo wakati wa kuubiria ajira kulikuwa na nyunzi nyingi za kuulizia ajira humu, hamuoni ukimya wenu unahalalisha serikali kuwapotezea nyie na wadogo zenu wanaofuatia huku mlikuwa na matumaini ya kuajiriwa na serikali.
kumbukeni kuwa kujiajiri kwa taaluma ya ualimu sio kitu rahisi ni kama hakuna uwe uwezekano na sekta binafsi haiwezi hata kuchukua 1% ya idadi yenu na mara nyingi sekta binafsi wamejitosheleza walimu.

hebu jikusanyeni bwana mtoe matamko ya vitisho au mna msamaha wa kurudisha mkopo.
 
habari zenu,
toka serikali itangaze kutoa ajira kwa walimu wa sayansi tu, kuna kimya kimetanda toka kwa walinu wa arts tofauti na mwanzo mlivyokuwa mnasubiria ajira je mmeridhija na serikali kuwanjia vaharini, hamuoni ukimya wenu unahalalisha serikali kuwapotezea na wadogo zenu wanaofuatia.
hebu jikusanyeni bwana mtoe matamko ya vitisho au mna msamaha wa kurudisha mkopo.
Mbona kama unakimbizwa hebu tulia uandike kwa umakini kijana
 
Back
Top Bottom