Walimu wa arts mmekubali matokeo kirahisi

Walimu wa arts mmekubali matokeo kirahisi

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,440
Reaction score
3,606
habari zenu,
Toka serikali itangaze kutoa ajira kwa walimu wa sayansi tu na kuwaacha na sintofahamu walimu wa arts, kuna kimya kimetanda toka kwa walimu wa arts tofauti na mwanzo wakati wa kuubiria ajira kulikuwa na nyunzi nyingi za kuulizia ajira humu, hamuoni ukimya wenu unahalalisha serikali kuwapotezea nyie na wadogo zenu wanaofuatia huku mlikuwa na matumaini ya kuajiriwa na serikali.
kumbukeni kuwa kujiajiri kwa taaluma ya ualimu sio kitu rahisi ni kama hakuna uwe uwezekano na sekta binafsi haiwezi hata kuchukua 1% ya idadi yenu na mara nyingi sekta binafsi wamejitosheleza walimu.

hebu jikusanyeni bwana mtoe matamko ya vitisho au mna msamaha wa kurudisha mkopo.
 
habari zenu,
toka serikali itangaze kutoa ajira kwa walimu wa sayansi tu, kuna kimya kimetanda toka kwa walinu wa arts tofauti na mwanzo mlivyokuwa mnasubiria ajira je mmeridhija na serikali kuwanjia vaharini, hamuoni ukimya wenu unahalalisha serikali kuwapotezea na wadogo zenu wanaofuatia.
hebu jikusanyeni bwana mtoe matamko ya vitisho au mna msamaha wa kurudisha mkopo.
Mbona kama unakimbizwa hebu tulia uandike kwa umakini kijana
 
Mleta mada unataka waandame wadakwe na mamwela
mkuu hata kutoa matamko tu hawawezi mbona walikuwa wanaulizia ajira kilasiku imekuwaje wampeotea ghafla.
 
tunapoelekea sasa vyuo vitaanza kutoa degree za waiz ilo angalau ata tujiajir mtaan
 
Wanatamani waunde umoja wao wadai haki ila wanaogopa maswala ya kina Ulimboka.
 
Back
Top Bottom