Atakula nn mkuuHII KAZI BORA MUACHE KAMA MWALIMU ANAPGWA HADI VIBOKO NA WAKUU WA WILAYA
Uandishi wako sio Wa kiualimu,amezulu,apewinikiwa kama mwalimu mwanafunzi wa UDSM roho inaniuma pale mwalimu anapojulikana kafanya kosa lakini apewi nafasi ya kujitetea kwa nini kafanya kosa na anahukumiwa moja kwa moja au kushushwa cheo na selikali LAKINI mualifu sugu tena muuaji ameua au amezulu watu eti wanasema uchunguzi unaendelea wakati inaelewka kabisa na pia anapewa mda wa kujitetea lakini mwalimu hapewi badala yake inapigwa simu tu kwamba awajibishwe...kwa nin na waalifu sugu km SCMPN mpaka sasa wanamuangalia tu wakati walimu menzetu wameachishwa chuo na wengne kufukuzwa kazi......ROHO INANIUMA SANA WALIMU WENZANGU...
Hakuna Mwalimu mwenye mshahara huo mimi najua wanaoanza kazi ni Tsh716,000.Na salary yenu ya laki 2 na nusu! Kweli mnaonewa..!
Ikikatwa makato hiyo unabakiza Tshs ngapi? Na ni kwa mwalimu wa degree nafikiri! Je! Hao wa msingi?Hakuna Mwalimu mwenye mshahara huo mimi najua wanaoanza kazi ni Tsh716,000.
Acha kupotosha.
Duh hawa sijui watawatambua au ndio basi tena.Labda ni Mishahara haitoshi />Kwa tabia hii mutanyanyasika sana
awa hapa waalimu wengine wakimpa kichapo mwanafunzi.
Mbona askari wanatoa vipigo na mnakuwa kimya.Sio kwa kipigo kile aisee kama wanaua mamba?? Tena ingelikuwa ni mwanangu mbona hiyo shule wangeifunga
Tsh565,000 ndio wanabaki nayo,sasa kwani hujui kuwa walimu wa sekondari wana degree.Ikikatwa makato hiyo unabakiza Tshs ngapi? Na ni kwa mwalimu wa degree nafikiri! Je! Hao wa msingi?