nchasi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 564
- 187
Usipopigania haki yako mwenyewe hakuna ambaye atahangaika na wewe. Ndugu walimu wenzangu hasa vijana maana wazee hawawezi kutuunga mkono wengi wao age yao ni 50 na kuendelea tgts zao ni e.
Tukutane bungeni hapo tarehe 29 walimu wote vijana na cwt wadhamini magari ya usafiri kutoka wilayani tukadai haki zetu dom. Hii serikali inabeep kwetu na ndo maana imetoa mishahara kwa baadhi ya walimu. Kenya wameweza hata tz walimu vijana tunaweza tupiganie haki zetu bila kumsubiri mkoba, ccm wala cdm maana wanaelewa matatizo yetu miaka yote lakini hakuna anaeonesha kushitushwa.
Shime cwt tulipieni mabasi kutoka kila pembe ya tz ili walimu vijana tukalete mabadiliko ktk hii nchi. Cwt kwa mwezi mnatuka hela walimu wote mamia ya mamilion ambayo mwal4mu hana hata chembe ya manufaa, onesheni ushirikiano wenu.