NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,959
- 2,938
HASIRA HUMALIZIA KWA WATOTO WENU!! MSIWASIFIE NDUGU ZANGUWaalimu wana mioyo ya kipekee sana hata ukiwadhulumu pesa hata hawakudai.
Waalimu endeleeni na moyo huohuo.
HASIRA HUMALIZIA KWA WATOTO WENU!! MSIWASIFIE NDUGU ZANGUWaalimu wana mioyo ya kipekee sana hata ukiwadhulumu pesa hata hawakudai.
Waalimu endeleeni na moyo huohuo.
Hongera sana Mkuu. MUNGU akubariki katika juhudi zako za kuboresha maisha.kama kuna MTU alienda kusoma ualim mzazi wake akiwa mkuu wa idara, Mkurugenzi, DC, das, rc, Ra's, waziri, mfanyabiashara wa kipato m100 kwa mwaka, au barozi nitajie. au jitaje. nitakutumia laki 2.
walimu 99% ni watoto wa wakulima, walimu, polisi, magereza, migambo, changudoa na wafanyabiashara wa vipato pungufu ya m50 kwa mwaka.
hayupo wa kugoma wala kuacha kazi, wanaweza kupiga mikwara tu.
Mimi ni mwalimu, mtoto wa mkulima, hadi namaliza chuo kikuu wazazi wangu wanalala nyumba ya nyasi. leo nashukuru wapo kwenye nyumba ya bati, sakafu, sofa, TV, umeme na wote wana simu.
nikiwaambia naacha kazi kisa sijapandishwa na pombe laana nitaiweka wapi?
nitastaafu kwa hiari 2040, nina kibiashara kidogo cha faida buku 6 kwa siku. geto langu lipo kwenye lenta.
Well said. Effective and good inspirational one.Mimi ni mwalimu, sijalogwa!!!! Ninamiliki nyumba ya kati, Namiliki gari la kati, watoto wangu wote wana elimu ya chuo kikuu, sioni hao wenye taaluma nyingine waliponizidi significantly!!!!!, labda wale mafisadi hasa walioko kwenye nafasi za uteuzi na wenye madaraka ya juu wafanyao ufisadi!! Vinginevyo maisha ni jinsi unavyoyapangilia. Ualimu siyo balaa, ualimu haukuzuii kuwa mjasilia mali, ualimu haukuzuii kuwa mfanyabiashara, ualimu haukuzuii kuwa mkulima!! Waalimu acheni kulia lia, angalieni fursa!!! Msipende mijini tu, vijijini kuna fursa kibao!!!, ardhi ya bei rahisi iko vijijini. Umeme wa REA uko vijijini, waalimu chapeni kazi, fanyeni ujasiliamali, anzisheni makampuni, ajirini watu!!! Wewe unapiga chaki huku una wafanyakazi takriban kumi kwenye biashara zako na mashamba yako!! Amkeni!!!!
Nyie ndo walewaleMimi ni mwalimu, sijalogwa!!!! Ninamiliki nyumba ya kati, Namiliki gari la kati, watoto wangu wote wana elimu ya chuo kikuu, sioni hao wenye taaluma nyingine waliponizidi significantly!!!!!, labda wale mafisadi hasa walioko kwenye nafasi za uteuzi na wenye madaraka ya juu wafanyao ufisadi!! Vinginevyo maisha ni jinsi unavyoyapangilia. Ualimu siyo balaa, ualimu haukuzuii kuwa mjasilia mali, ualimu haukuzuii kuwa mfanyabiashara, ualimu haukuzuii kuwa mkulima!! Waalimu acheni kulia lia, angalieni fursa!!! Msipende mijini tu, vijijini kuna fursa kibao!!!, ardhi ya bei rahisi iko vijijini. Umeme wa REA uko vijijini, waalimu chapeni kazi, fanyeni ujasiliamali, anzisheni makampuni, ajirini watu!!! Wewe unapiga chaki huku una wafanyakazi takriban kumi kwenye biashara zako na mashamba yako!! Amkeni!!!!
No madaraja
No increments
No uhamisho
Ila .
Mfaulishe kwa zaid ya asilimia 90.
Mdhibiti utoro kwa asilimia 95.
Mkuze nidhamu kwa asilimia 95.
Pia.
Muandae notsi kwa asilimia 99
Muandae Lesson Plan kwa asilimia 100.
Muandae zana za kufundishia kwa asilimia 80.
Zingatia.
Kuwahi kazini saa kabla ya 1:30 asubuhi.
Mkae kituo cha kazi mpaka mwisho usitoroke.
Toa kazi kwa asilimia 100
Sahihi kazi zote kwa asilimia 100.
Msisahau .
T.O.D hakikisha umejaza kitabu cha Zamu.
Hakikisha shule safi.
Hakikisha hakuna anaetoroka.
Hakikisha unatoa adhabu kwa watoro na watukutu wote.
Kumbuka.
Bakola hata moja mtoto akizimia ,kuumia ama kufa utawajibishwa ipasavyo na jamhuri na wananchi watashangilia kuona unawajibishwa.
.walimu peponi panawahusu.
🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi pia mkuu nina nyumba ua 40 mil. Nastaf 2039kama kuna MTU alienda kusoma ualim mzazi wake akiwa mkuu wa idara, Mkurugenzi, DC, das, rc, Ra's, waziri, mfanyabiashara wa kipato m100 kwa mwaka, au barozi nitajie. au jitaje. nitakutumia laki 2.
walimu 99% ni watoto wa wakulima, walimu, polisi, magereza, migambo, changudoa na wafanyabiashara wa vipato pungufu ya m50 kwa mwaka.
hayupo wa kugoma wala kuacha kazi, wanaweza kupiga mikwara tu.
Mimi ni mwalimu, mtoto wa mkulima, hadi namaliza chuo kikuu wazazi wangu wanalala nyumba ya nyasi. leo nashukuru wapo kwenye nyumba ya bati, sakafu, sofa, TV, umeme na wote wana simu.
nikiwaambia naacha kazi kisa sijapandishwa na pombe laana nitaiweka wapi?
nitastaafu kwa hiari 2040, nina kibiashara kidogo cha faida buku 6 kwa siku. geto langu lipo kwenye lenta.
Mwisho wa siku lazima, mwalimu ataulizwa kwann wanafunzi wamefeli.Na fimbo zimepigwa marufuku.ukitaka kudhibu Mkuu wako anatakiwa asaini kuruhusu.hahahaha Mungu atupe uzima tuendelee kushuhudia madhara ya kudharau walimu na elimu yetu.wala hatushtuki tunachoenda kukivuna.
No madaraja
No increments
No uhamisho
Ila .
Mfaulishe kwa zaid ya asilimia 90.
Mdhibiti utoro kwa asilimia 95.
Mkuze nidhamu kwa asilimia 95.
Pia.
Muandae notsi kwa asilimia 99
Muandae Lesson Plan kwa asilimia 100.
Muandae zana za kufundishia kwa asilimia 80.
Zingatia.
Kuwahi kazini saa kabla ya 1:30 asubuhi.
Mkae kituo cha kazi mpaka mwisho usitoroke.
Toa kazi kwa asilimia 100
Sahihi kazi zote kwa asilimia 100.
Msisahau .
T.O.D hakikisha umejaza kitabu cha Zamu.
Hakikisha shule safi.
Hakikisha hakuna anaetoroka.
Hakikisha unatoa adhabu kwa watoro na watukutu wote.
Kumbuka.
Bakola hata moja mtoto akizimia ,kuumia ama kufa utawajibishwa ipasavyo na jamhuri na wananchi watashangilia kuona unawajibishwa.
.walimu peponi panawahusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mwalimu, sijalogwa!!!! Ninamiliki nyumba ya kati, Namiliki gari la kati, watoto wangu wote wana elimu ya chuo kikuu, sioni hao wenye taaluma nyingine waliponizidi significantly!!!!!, labda wale mafisadi hasa walioko kwenye nafasi za uteuzi na wenye madaraka ya juu wafanyao ufisadi!! Vinginevyo maisha ni jinsi unavyoyapangilia. Ualimu siyo balaa, ualimu haukuzuii kuwa mjasilia mali, ualimu haukuzuii kuwa mfanyabiashara, ualimu haukuzuii kuwa mkulima!! Waalimu acheni kulia lia, angalieni fursa!!! Msipende mijini tu, vijijini kuna fursa kibao!!!, ardhi ya bei rahisi iko vijijini. Umeme wa REA uko vijijini, waalimu chapeni kazi, fanyeni ujasiliamali, anzisheni makampuni, ajirini watu!!! Wewe unapiga chaki huku una wafanyakazi takriban kumi kwenye biashara zako na mashamba yako!! Amkeni!!!!